Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

Huyu polisi naye alipenda mwenyewe kufa unaenda kumkamata mwalifu mkubwa hivyo ukiwa mwenyewe unategemea nini ..nikikumbuka kile kipigo nilichopigwa kwenye maandamano ya amani Arusha naichukia sana jeshi la polisi hata nikisikia polisi amekufa au ameuwawa sitohuzunika .
 
Alikuwa ameenda kamata mtuhumiwa. Wakamshambulia na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Mytake: Askari wasipojirekebisha watauawa sana.

UPDATES:

==============================================
TAARIFA YA POLISI

Marehemu wakati wa uhai wake:
attachment.php

attachment.php

R.I.P shujaa... mbele yetu nyuma yako.
 
Huyo kijana muuaji naye alikamatwa na wananchi wenye hasira kali na alichezea kichapo mpaka umauti.

Cha kushangaza eti kamanda Misime kawapongeza wananchi wenye hasira kali halafu ndo akatoa wito wasijichukulie sheria mikononi.

Source:Taarifa ya Jeshi la polisi Dodoma.
 
Hii habar nimeisikia kweli inasikitisha kweli kwa tukio zima hats Mimi sijajisikia vizur kwani lilikuwa halina siasa
1. Niliona sura ya Marehemu Askari kwa TV sikuelewa kabisa ila nilifananisha tu. Nimesikitika nilipoingia humu Jf na nguo zake za kazi ndo nimemkumbuka miaka
Kama 2 iliyopita lilikuwa Dom nilikuwa napishana naye sana wakati mwingine kwenye gari ya polis wakishilikiana na mgambo cty kukamata/kufukuza wamachinga kufanya biashara kwenye maeneo yasiohusika

2. Kinacho nishangaza nikuwa jinsi hili swala lilipewa uzito hadi bungeni hadi nakumbuka ule usemi usemao....simba kula mtu haina noma ila MTU kula simba habari kabisa tena kumbwa..
_kumbuka Mwangosi mpka Leo kesi ni muvie.
Lkn je kwa wale walio anagalia startv Leo asubuhi kamanda wa Dodoma kasema muuaji kauawa na wananchi wenye hasira Kali...
 
Simba kula MTU haina noma ila MTU kula simba habari Kumbwa!..teh teh hebu tuambie hiyo usemi wa wapi?.. kajifunze kuandika kwanza memkwa wewe.
 
Wacha wafe, hawa si ndio wanapiga watu na Wheel spanner. let the Die in pieces. Siwapendi.
 
ukweli huyu askari hakuwa mkakamavu sidhani kama alikuwa na miaka hata mitano kazini, na ilikuwaje akaenda pekeyake bado katika mazingira yale akajifanya swazinega, ningekuwa mie ningemshambulia kwa mawe kwanza huyo jambazi.

uwe na adabu na hujafunzwa na wakubwa kutokuongea kuhusu marehemu??? marehemu Joseph Isaack Swai nimesoma nae high school.. ukakamavu anao na pia alikua scout wa muda mrefu sana. ameajiriwa na PT toka mwaka 2010 august
 
Mwanapropaganda

Inasikitisha sana na kushangaza kuona watu wachache wanafurahia kuuliwa kwa polisi wetu. HALI HII INAONYESHA WAZI KUWA SIASA YA SASA INATUPELEKA PABAYA SANA. KUNAHITAJIKA WANASIASA KUACHA KABISA KUFANYA SHUGHULI ZA KISIASA NA KUTUACHIA AMANI YETU.

TUACHENI CHUKI ZISIZO NA MAANA, TUPENDE WALINZI WETU. TUPENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIBARIKIWE!

MUNGU AWAPE NGUVU WAFIWA PAMOJA NASI SOTE. AMEN

polisi wajirekebishe kwanza,huwezi kumpenda mtu anayekutendea maovu.
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! Humu ndani wengi walevi. Akili zao kila wakati zinawaza utawala/upinzani
Sijui hata ndoa zao zikoje. Acheni ulevi bana
 
Huyu polisi naye alipenda mwenyewe kufa unaenda kumkamata mwalifu mkubwa hivyo ukiwa mwenyewe unategemea nini ..nikikumbuka kile kipigo nilichopigwa kwenye maandamano ya amani Arusha naichukia sana jeshi la polisi hata nikisikia polisi amekufa au ameuwawa sitohuzunika .

We siku ukiingiliwa na majambazi ndio utajua umuhimu wao,we leta pumba zako tu.
 
hajakutana na vichapo vya hawa jamaa ndo maana

Ukiona mtu anatetea polisi kwa sasa ujue huyo amma ni polisi pia,anaundugu,rafiki au fisadi,kwasisi tusio na udugu au ukaribu nao hatuwezi kuwatetea kwasababu ya madhila waliotufanyia.
 
We siku ukiingiliwa na majambazi ndio utajua umuhimu wao,we leta pumba zako tu.

Lini ulisikia au kuona majambazi yamevami kwamtu polisi wakamuokoa,matukio yote majamba hufanikiwa, polisi huja baada ya majambazi kuondoka
 
hizi story mbona zinakanganya huyu anasema vile na yule anasema hivi, nani wakumuamini hapa sasa
 
Back
Top Bottom