wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Yule mtu alimkatakata mapanga polis kazi yake ilikuwa ni kuua kitimoto na kuikatakata kwa ajili ya kuchoma kwenye vilabu vya pombe na mabaa.
Sio ajabu mtu wa namna hiyo kuwa katili kiasi hicho yeye na mke wake walikuwa watembeleaji wazuri vilabuni.
Sio ajabu mtu wa namna hiyo kuwa katili kiasi hicho yeye na mke wake walikuwa watembeleaji wazuri vilabuni.