Doctors

usidhalilishe utu wako kwa nafasi aliyonayo mtu, then wewe una taruma gani mpaka utake daktari
 
Aseee mi pia napenda hawa watu
nikiwaona ndani ya koti jeupe na ile kitu sijui stenininicope mi hoi jamani
uuuh thanks God kwa kunipatia kitu roho inapenda...

Hakuna watu malaya kama madaktari na manesi. ndo nakuambia ivoo
 
we una sifa gani icje kua unataka tu kuolewa na daktari tu afu huna sifa hata moja za kua hata na medical officer asiye na license
 
Aiseee...mimi napenda wanajeshi jamani..pamoja na kusemwa vibaya kwamba ni vicheche, walevi ugonjwa wangu juu yao haujapona hata..
 
Ha ha ha ha uuuh bana eeeh umalaya ni tabia ya mtu tu
mi nawapenda sana madaktaree sifa zingine zangu moyoni

Nakushauri utupende sisi makuli. Tukishabeba mizigo ya watu, moja kwa moja tunarudi nyumbani kubeba mizigo ya home.
 
Nakushauri utupende sisi makuli. Tukishabeba mizigo ya watu, moja kwa moja tunarudi nyumbani kubeba mizigo ya home.
Babuuu yani kwa madaktaree hujaning'oa
makuli mnaongoza kwa kuibiwa make ukirudi home umecheka mzigo unaubeba sa ngapi?
 
Babuuu yani kwa madaktaree hujaning'oa
makuli mnaongoza kwa kuibiwa make ukirudi home umecheka mzigo unaubeba sa ngapi?

Watakucheka watu.

Hivi unajua madaktari ndo wanaongoza kwa kushikashika Papuchi za wake za watu? Huna wivu?
 

Nadhani umejijibu mwenyewe dokta. Nina watu wa karibu ambao ni madaktari and they are horrible husbands and fathers!!!
 
Yan mleta mada nakuunga mkono kwa asilimia kubwa. Natoa ushuhuda nina dr.kwa muda flan sasa kwakweli nafurahi kbs na sijajuta mpk saiv. Mapungufu hayakosekani km binadam ila kwakwel nikilinganisha na mjeshi mmoja niliyekua nae nusu nife na pressure kwnd hosp sina ugonjwa japo nahic naumwa, dr. ndo akaokoa jahazi.

Mpk saiv sijaonja uji wa shuluba, hata km ikigeuka lkn nishapata history ya kuzungumzia kwmb niliwah kufurahia maisha.

Japo makoti meupe hata wauza nyama wanavaa lkn nmegundua sare wanazovaa watu wkt mwngne zinatoa maana flan japo hii sio sheria ni mtazamo tu. Mtu anavaa sare mwanzo mwisho ni mabakamabaka yan tabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…