Kujali ni kitu cha kawaida kwa sababu utaratibu wa maisha unawajenga kufanya majukumu yao inavyotakiwa na ndivyo ilivyo kwenye mahusiano nao, hapa matarajio ni mazuri.
Tatizo sex kwao ni natural process na sio product ya love, muhimu ni uhitaji wake hapa sasa usishangae akitoka na mwingine na asionyeshe tofauti kwako yaani itakuwa vigumu kumgundua halafu hawapotezi muda kutumia mbwembwe nyingi kukupata kwa usiku mmoja.
Wanapride za ajabu ajabu sana sasa ukimkuta ambaye mfumo dume umemuingia vizuri na wewe kiakili hauko fit jiandae kupokea order tu ukiuliza vizuri wengi wanaoa walimu na manesi.
Wanashobokewa sana na wanawake wengi kwa hiyo huwa wana uwanja mpana wa kuchagua, inabidi ufit kisawasawa kwenye ndoto zake ndo akuoe.
Wazuri kutunziana siri, kumjua vizuri ni kazi kweli kweli.
Hawaogopi kuacha wala kuachwa na they can easily let it go, kwa hiyo ukiwa naye cheza kwa step.
Utapata faida ya kuhudumiwa vizuri kiafya wewe na familia yako, kama nilivyosema hapo juu wanajitahidi kutimiza wajibu.
Aisee pole mamy..muombe mungu atakusaidia utakunana na mkapendana..najua unachomaanisha na unavyosema ...ila leo hapa najifunza kitu kikubwa sana..na nadhani sifa nyingine inategemea na mtu, ila hiyo ya uvumilivu i can asure u wengi ni wavumilivu sanaUwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Au baada ya kuona magonjwa kama dengue yanaongezeka mnataka kuwa kwenye mikono salama?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwani wewe mkuu hata ukiwa na binti ..akikuletea mkwe wa aina hiyo hutapenda..ila kusema ukweli maisha ni maisha wakati mwingine haiangali mtu yupo na nani..lakini hapa najifunza kitu kikubwa sana.. Kuna trust ipo kwenye jamii miaka mingi ambayo inatakiwa kuitunzana kwa kuendelea kuheshimu kazi na kufanya kwa bidii na uwezo wetu wote, hasa kwenye kuisaidia jamii...lkn pamoja na kuweke image nzuri ya tabia njema na uadilifu kwenye maisha kwa ujumla..tunashukuru kuna watu kama akina dr. isac wa clouds njia panda wanaifanya hiyo kazi vzr..Daktari, na wewe unakubaliana na habari zisizo na facts zozote? Aaaah!!
Yaani kuna kitu about this people..hata sielewi ni nini..ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession..Hawa watu they gat true love na wanajua kujali...
nitafuteYaani kuna kitu
about this people..hata sielewi ni nini..ila my dream ni kuolewa na mtu
mwenye hii proffession..Hawa watu they gat true love na wanajua
kujali...
Mkuu left back-gunners wewe ni gibss au nacho....?!!.kua makini na madokta!....
Watakapokuonesha uhuni wao uje kutuhabarisha pia,usidanganywe na makoti
wapo wachache hatuwezi kataa ila majority ni watu waliotulia sana...na sasa hivi kuna tofauti kubwa sana tunaziona zamani ilikua unasikia dk mlevi nk..lkn vijana wa siku hizi ni mara chache sana unakuta dk kabobebea kwenye ulevi na vitu kama hivyo..
Hujakosea kabisa kabintispecialYaani kuna kitu about this people..hata sielewi ni nini..ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession..Hawa watu they gat true love na wanajua kujali...
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Trying your luck huh?
Kwa hili jina unadhani sisi madokta tutakukonyeza kweli?
Jamani hilo ni jina tu la jf.Usimvunje mwenzako moyo
Majina mara nyingi huwa yana mahusiano na maisha yetu ya kila siku
Vip sisi wanajeshi na sisi tuna mapenzi ya dhati
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.