mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,167
Mama wee mmepotea sana kutana na Dr. Kifimbo , huwa yeye anatoka na walembo tu. Nafikiri wote mnamjua anafanana na singasinga hila yeye aqqnUpara anapatikana sana kwenye magazeti ya ijumaa na sani naye huyu mseme anajua kupenda. Mwingine yupo mhimbili alikuwapo mwananyamara.
Yule ambaye aliwahi kudate na baby madaha amedate sana na mamiss mwingine alikuwa na Gari hilux nyekundu open aloof alikuwa akijaza vimwana na wote ana do nao yupo pale muhimbili karibu na ward ya wazazi , siwezi taja jina.Medical Dr kwenye sani na ijumaa? Loh! Sio kila anayejiita Dr ni daktari anayezungumziwa humu. Watu wanajipachika tu baada ya kuona these people are admired by the society. Huoni wanasiasa wanavyoenda kuhonga vyuo vya uchochoroni viwape 'udr' wa kunyanyasia wasioelewa?
Yule ambaye aliwahi kudate na baby madaha amedate sana na mamiss mwingine alikuwa na Gari hilux nyekundu open aloof alikuwa akijaza vimwana na wote ana do nao yupo pale muhimbili karibu na ward ya wazazi , siwezi taja jina.
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
true love in which area? Wale wanaochoropoa mimba unawaweka kundi lipi?
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..
Aisee pole mamy..muombe mungu atakusaidia utakunana na mkapendana..najua unachomaanisha na unavyosema ...ila leo hapa najifunza kitu kikubwa sana..na nadhani sifa nyingine inategemea na mtu, ila hiyo ya uvumilivu i can asure u wengi ni wavumilivu sana
Hawana lolote. madokta ni watu wenye wito ila wana roho ngumu sana kwa kuwa wanaona mengi. Feelings inategemea na mtu na si weledi wakeTofautisha uharamia na personal feelings!
Prof Mshimba, alinifundisha UDSM "complex analysis" miaka ya 2003/2004/2005. Yupo Nzanzibar siku hizi.Ni prof mashimba ama mshimba?
kuna prof wa udsm aliwahi kusema 'ng'ombe wa maskini hazai, akizaa atazaa dume, dume yenyewe inakuwa shoga'
Mmmmh umenijuaje aise..au wewe mamayoyo nini..!!?afu wewe nshakujua, beby dokta kumbe umo humu??! uwahikurudi nyumbani leo nna homa mwenzio lol