Doctor Isaac Maro ni nani?


S

solanum

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
174
Likes
82
Points
45
S

solanum

Senior Member
Joined Jul 28, 2015
174 82 45
Habari zenu wakuu!

Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds Fm, Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?

Na kama ni daktari kweli, anawezaje kumudu kazi zote mbili?
 
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
2,164
Likes
2,351
Points
280
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
2,164 2,351 280
MD(MUHAS),MPH(MUHAS),Anasoma pia TOKYO JAPAN Kwa sasas.Wewe endelea kuandamanishwa tu na watu wenye MISHAHARA NA MIPOSHO YA MAMILIONI.
MPH hajaichukulia MUHAS,msome mwenyewe link iko post #20.
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,253
Likes
15,355
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,253 15,355 280
Tukiwaambia Wachaga tunapiga kazi mnakuja kuhororoja hapa na kusema wachaga ni wezi sasa mwangalie kijana mbichi wa kichaga anavyo piga mzingo! Mara yupo Tanzania mara South Africa mara China mara Japan mara Marekani! Vijana tutafute tuachane na siasa na uvivu na majungu
 
M

Marambo

Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
92
Likes
52
Points
25
M

Marambo

Member
Joined Jul 26, 2015
92 52 25
huyu jamaa ni mpambanaji sana, nimewahi kuzungumza naye ni anapiga kazi kweli kweli, kila mahali yupo na anaitafuta shilingi kweli kweli. yuko Tokyo anasoma, anatangaza kipindi chake cha radio akiwa Tokyo na anauza magari pia, ukitaka kuagiza gari japan unawasiliana naye ni wakala wa makampuni ya kijapan yanayouza magari pia, maana yake huyu jamaa kila ajira/fursa iliyoko mbele yake ni dill
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,195
Likes
47,977
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,195 47,977 280
Ni doctor by professional na ni mtangazaji wa vipindi vya afya cheki na njia panda pale Clouds media. Na kwasasa yuko Tokyo Japan anaongeza elimu yake.
 
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
5,863
Likes
2,617
Points
280
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
5,863 2,617 280
hongera yake bana naihehimu taaluma yake. ila ananiboa kitu kimoja anapoonge kwa KUDEKA me hapo kwa kweli sipendi ila sehemu nyingine yupo poa sana MD si mchezo pia na tenda anazopiga huko japani kuingiza mapesa.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
29,891
Likes
37,103
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
29,891 37,103 280
Habari zenu wakuu!

Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds fm Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?
Unauliza umbea kwa Gea Habib?
 
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Messages
2,034
Likes
813
Points
280
Age
29
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2015
2,034 813 280
yeyote anisadie kuipata ile biti ya kipindi chake cha njia panda clouds fm!

Bango
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,495
Likes
4,873
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,495 4,873 280
Ni MD product ya MUHAS hiyo.

Mwanaume hawi na kazi moja tu kama chanuo.
asante mkuu!! tunafanya kazi zaidi ya sehemu mbili na life goes on....mtu anashangaa mbili tu????
 
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,724
Likes
2,745
Points
280
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,724 2,745 280
Tukiwaambia Wachaga tunapiga kazi mnakuja kuhororoja hapa na kusema wachaga ni wezi sasa mwangalie kijana mbichi wa kichaga anavyo piga mzingo! Mara yupo Tanzania mara South Africa mara China mara Japan mara Marekani! Vijana tutafute tuachane na siasa na uvivu na majungu
Kwa hiyo na wewe unapiga kazi huku Jf??
 
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Messages
1,447
Likes
1,645
Points
280
Jane Lowassa

Jane Lowassa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2016
1,447 1,645 280
mitanzania ni wivu na uvivu tu we unashangaa kufanya kazi mbili tena hiyo ya clouds ni lisaa limoja kwa wiki,uliza dk kuboja utamkuta muhimbili,agakhan,tumaini na tnj jiulize anakigawaje,hapa kazi tu
Anapata wapi muda wa kufanya self improvement na kuongea na Mungu? Au ndiyo wale siku akigombana na mke wake anakimbilia kujinyonga?
 
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,890
Likes
1,657
Points
280
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,890 1,657 280
mitanzania ni wivu na uvivu tu we unashangaa kufanya kazi mbili tena hiyo ya clouds ni lisaa limoja kwa wiki,uliza dk kuboja utamkuta muhimbili,agakhan,tumaini na tnj jiulize anakigawaje,hapa kazi tu
Sio lisaa limoja bali ni zaidi ya masaa mawili.
 
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,343
Likes
1,891
Points
280
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,343 1,891 280
Isaac ni very smart guy toka tulipokuwa sec forodhani alikuwa anaongoza darasani na mmoja wa viongozi wa wakati ule siwezi kushangaa Leo kuwa hv..
 
Kyokola

Kyokola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Messages
664
Likes
569
Points
180
Kyokola

Kyokola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2014
664 569 180
MD(MUHAS),MPH(MUHAS),Anasoma pia TOKYO JAPAN Kwa sasas.Wewe endelea kuandamanishwa tu na watu wenye MISHAHARA NA MIPOSHO YA MAMILIONI.
Hajasoma MPH Muhas, kasoma MPH yake Dartmouth USA.
 

Forum statistics

Threads 1,235,544
Members 474,641
Posts 29,226,153