Kwani wale madaktari wanakuwaga asubuhi wapo Muhimbili, saa tisa wapo Tumaini na jioni anamalizia Regency wanawezaje..???Habari zenu wakuu!
Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds fm Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli na anawezaje kumudu kazi zote mbili.
Na je anaendelea kutibu au anadeal na vipindi tu.Ni medical doctor na mtangazaji wa vipindi vya afya check na njia panda clouds tv na clouds fm respectively
Na kesho akifungua hospital yake na ka range kake wataanza kusema jamaa ni sembe ilimfikisha hapo alipo! vijana tusikubali kutengemea tu mshahara tujiongezemchagga yule,lazima ajiongeze....
MBONA ANAYO HOSPITAL YAKE, HUYO NI CLINICAL OFFICERNa kesho akifungua hospital yake na ka range kake wataanza kusema jamaa ni sembe ilimfikisha hapo alipo! vijana tusikubali kutengemea tu mshahara tujiongeze
MD(MUHAS),MPH(MUHAS),Anasoma pia TOKYO JAPAN Kwa sasas.Wewe endelea kuandamanishwa tu na watu wenye MISHAHARA NA MIPOSHO YA MAMILIONI.Habari zenu wakuu!
Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds fm Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?
bila kusahau Free Mason..Na kesho akifungua hospital yake na ka range kake wataanza kusema jamaa ni sembe ilimfikisha hapo alipo! vijana tusikubali kutengemea tu mshahara tujiongeze
Hahahaaa,utasikia huyo ni Firimasoni..bila kusahau Free Mason..
In addition, huko TOKYO ana-pursue PHD so mtoa mada don't underestimate the guyMD(MUHAS),MPH(MUHAS),Anasoma pia TOKYO JAPAN Kwa sasas.Wewe endelea kuandamanishwa tu na watu wenye MISHAHARA NA MIPOSHO YA MAMILIONI.
Sasa mbona muda mrefu anasikika kwenye kipindi Japani anasomaje.In addition, huko TOKYO ana-pursue PHD so mtoa mada don't underestimate the guy