VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Ha haa haa Hope unanielewa kwa mazuri...,VOR, Kama nakuelwa vile..? Lol

yaani we jamaa sijui unalipwa shs ngapi na magamba. Halafu inaelekea unaweza hata kumpa JK yule mke wako. Aaaaargggggggghhhhhhhhh
Binti unavituko wewe?? Uporoto na Klorokwini watukuepo??
AD Klorokwini ndio huyo mwalimu wa Husninyo! Labda ungeuliza hivi uporoto, the finest na asprin watakuwepo?..Binti unavituko wewe?? Uporoto na Klorokwini watukuepo??
..........lol........

hahahaha! Husni umepinda... Mwambie mwalimu aache unyanyapaa, hapa najaribu kumtetea Saranga manake yeye ndo mwenye matege kati yetu sote....
hao watakuwa wanapiga picha tulete jf photo. Halafu kloro hajaqualify kucheza kiduku.
AD Klorokwini ndio huyo mwalimu wa Husninyo! Labda ungeuliza hivi uporoto, the finest na asprin watakuwepo?..
Ha haa haa Hope unanielewa kwa mazuri...,
na sio kunifananisha na kituko fulani.... ha haa haa
Lakini ukweli ni kwamba when it comes do dancing mi sio mtaalamu ingawa I can move..., kama unaweza kuita that is dancing..
Jf dokta hawatibu matege bana... Matege dawa yake ni kucheza kiduku mpaka miguu inyooke...

khaaaa! Saranga wa mkuranga ana matege! Hii sredi isije ikapelekwa jf doctor tukatibiane matege.

Mbona nyie warembo mwanichangaya... nimuamini nani hapo??? lol... Alafu Husny mie nina mpiga picha wangu anaitwa Eqlyps.... Source:Jammii Photos....

Jf dokta hawatibu matege bana... Matege dawa yake ni kucheza kiduku mpaka miguu inyooke...
Khaaa! Umeamua kunishusha daraja?... Subiri, labda nisipate nauli...

niamini mimi, sweetlady juzi alinidanganya jeief siku hizi inaitwa fesibuku, Mtu mzima nikalog in fesibuku! Dah! Usimwamini kabisa huyo.
Ha haa haa Hope unanielewa kwa mazuri...,
na sio kunifananisha na kituko fulani.... ha haa haa
Lakini ukweli ni kwamba when it comes do dancing mi sio mtaalamu ingawa I can move..., kama unaweza kuita that is dancing..
...Nakuelwa vema saana .. VoR ..why? Kama utaona pia Mimi nilichagua slow (Jazz) kama kumbukumbu.. ..Loh ..ADii hajakubali kabisa ...!! eti hiyo sio kujirusha ..lakini kwangu hiyo ni kujirusha ...bado tunavutana... lol

Khaaa! Umeamua kunishusha daraja?... Subiri, labda nisipate nauli...

Habari wana JF .

Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na

kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi

ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??

Mtaani?? ama Kijijini?? Na if you don't mind ni wimbo gani

huo ulikukuna mpaka ukakunyanya kucheza... Naomba tafadhali

saana Ushee na Sie... KIKUBWA... Do you Remember???

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
Halali mtu hapa. Ashadii hajalala mi ntalalaje nimwache peke yake?..

duh! Nilijua umelala.