Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Gud night bana, leo ngoja na mimi nikutoroke mapema! Ila sifungi macho ujue, nakutizama.... Ole wako uanze kumchekea Husninyo..lol..
Khaaa! Husni katudanganya jamani, anasema unajua kucheza kiduku tuu...Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.
Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.
Kamuulize Malaria sugu ndo kazi yake kupika kahawa...Jamani kahawa imeiva?
Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.

Kamuulize Malaria sugu ndo kazi yake kupika kahawa...
Mupenzi nimeambiwa na sweetlady na Ashadii kuwa umedai eti mi ni bingwa wa kucheza kiduku ? unanikonfyusi na Kloro ndio mliokuwa mnaenda nae kwenye kiduku mi unajua mambo yangu ni kwaito tu.khaa! Unamshusha hadhi malaria.Sredi klozid.

Mupenzi nimeambiwa na sweetlady na Ashadii kuwa umedai eti mi ni bingwa wa kucheza kiduku ? unanikonfyusi na Kloro ndio mliokuwa mnaenda nae kwenye kiduku mi unajua mambo yangu ni kwaito tu.
hahaha! kumbe?basi wamenishikia bango imebidi nitoroke kidogo.nilikuwa nawadanganya mpenzi.
kamanda bana hapa nilikuwa nimeelewa vingine kidogo nitangaze kutokukufahamu hahaha!Last wiki nilikuwa namrudi kandabongoman bafuni! Inde monieeee! inde moniee!...
nani asiesjuwa kwamba nyinyi ni maselebriti wa kiduku bana!

nilikuwa nawadanganya mpenzi.
kamanda bana hapa nilikuwa nimeelewa vingine kidogo nitangaze kutokukufahamu hahaha!

nani asiesjuwa kwamba nyinyi ni maselebriti wa kiduku bana!

naambatanisha na ushahidi

Hapo video ikianza, Kutoka kushoto ni Uporoto, Husninyo, Hashycool na wa mwisho kabisa ni The Finest.