thats the rule for all men.you praise the one you have now...not the yesterday girl...lol
Katika wazungu he is one of the guy i really really like (apart from Clooney and Burtler..)... And hata hivo ukweli ni kwamba the Brangelina couple is Hotter.... Jennifer Vs Angelina?? Hata mimi kam ni Jennifer na ubishi wangu wa If the Man is my MAN naweza surrender....
Utanikwaza sasa hivi.... haya maneno akiona Sweetlady atasemaje... Hivo nisamehe nafuta post yako!!! Alafu Husny umwambii kitu kwa Uporoto1..lol
unamjua before jennifer?
i can bet jolie will not be the last...
Leo tulikubaliana kwenda kwa husninyo kujifunza kiduku...ila naona kaamua kujichimbia peke yake...ndio maana safari ya kwa Sweetlady haikwepeki...umenisoma hapo?
Nimekusamehe bure....
aaaiiiseee!!! I humbly R E P E N T.....lol (kwa hiyo itakuwaje maana naona kama woote wamekuponyoka)
Mie nyimbo nyingi tu zinanikuna nikisizikia basi huwa lazima angalau nitingishe kichwa kufuata mapigo ya nyimbo hizo. Mie huwa najiachia club na kucheza hata nyimbo tano au zaidi mfululizo kama nyimbo hizo zinanigusa. Music is the heart of our soul.
BAK Glad to have you back man.... Hapa JF tulikumiss.... katika hii thread tu Shantel na King'asti hata mimi pia tumekutaja hoping for vitu vizuri kama hivi.... I hope you are well and good na hata your loved ones pia.... Nice selection (as always) Hivo appreciated kwa ku share kwa udhahiri hata sie tusikie.... THANK YOU..... and WELCOME BACK!!!
Mie bado nakusubiri, mbona hufiki? Au wataka giza liingie upotelee baharini kama jana??..Na kapotea tangu jana anajifua...akirudi tutatambishiwa sana...kwa mpango huu leo lazima kwenda kwa Sweetlady.
Mie sijamponyoka AD...nipo hapa kituo cha basi namsubiri ila nashangaa hafiki... Mvumilivu hula mbivu ila mi nahisi huu wangu utanishinda..aaaiiiseee!!! I humbly <b>R E P E N T.....lol (kwa hiyo itakuwaje maana naona kama woote wamekuponyoka)
Thank you kindly ADI for your beautiful words. Muziki mie unanipa furaha ya ajabu na sio kwa kuusikiliza tu bali hata kuucheza.
Mie bado nakusubiri, mbona hufiki? Au wataka giza liingie upotelee baharini kama jana??..
....lol...Siku hizi naogopa safari za mchana maana ajal nyingi...jua likitua tu naanza safari...leo hapotei mtu...
BAK..... nimependa kua you Love dancing.... Inamaana upo fluid... and you have got moves too...lol Please do me a favour kama waweza pata wimbo wowote wa Segere will appreciate... Walau Shantel akirudi hapa afurahi...
Oh! hapo sawa... i think ngoja mie niwapishe nipumzike kidogo.....lol
Mie sijamponyoka AD...nipo hapa kituo cha basi namsubiri ila nashangaa hafiki... Mvumilivu hula mbivu ila mi nahisi huu wangu utanishinda..
<br />Kuna jamaa wa busara mno! mpaka nimejiuliza hapa kama nimtaje ama lah! lol lakini sababu nae kasema anataka kujifunza Tango... atakufaa...