Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Mbona nilijaribu majibu yakaniboa!!! Nikasema siirudi tena ile mahali for jibu nilopata... hata below average haiqualify....lol
Ongeza na jina la bibi na babu!.. Ikishindikana weka na majina ya majirani zako...lol..Mbona nilijaribu majibu yakaniboa!!! Nikasema siirudi tena ile mahali for jibu nilopata... hata below average haiqualify....lol
Hahahaha... Kumbe AD alitupiga bao kwenye kalikuleta?.. Hebu jaribu tena kuweka majina yangu yote matatu...ntampita Ad!..
Mh!.. Sangara! Majina matano yote ya nini?...Ha ha ha ha ha...mie nilijaribu majina matano...nilipost score zote...sasa inaleta shida aliepata nyingi ndio haniamini...lol!
Mh!.. Sangara! Majina matano yote ya nini?...
hahahaha!... Na Ad ndo keshagoma kukuamini.. Husni hatakufundisha tena kiduku...Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...

na Shantel=41%

Husninyo=42

Ashadii=86%

Bebii=75

Sweetlady=43%

Hayo ndiyo matokeo...waambieni wenyewe wasijeninyonga...its mere a joke...
Ha ha ha ha ha...mie nilijaribu majina matano...nilipost score zote...sasa inaleta shida aliepata nyingi ndio haniamini...lol!
Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...
na Shantel=41%
Husninyo=42
Ashadii=86%
Bebii=75
Sweetlady=43%
Hayo ndiyo matokeo...waambieni wenyewe wasijeninyonga...its mere a joke... !
hahahaha! Ulipotea kwasababu ya usingizi....Majina ya watu watano tofauti...hayo hapo juu...sasa nimeelewa kwa nini jana nilipotea njia uliyonielekeza.
hahahaha!... Na Ad ndo keshagoma kukuamini.. Husni hatakufundisha tena kiduku...
SADE-NO ORDINARY LOVE, SOLDIER OF LOVE.
LIONEL RICHIE- DEEP RIVER WOMAN
Hizi selections ni kwa kusikiliza tu, siyo kucheza
Bora wewe umeishiwa pose... Mi hapa sina mbavu kwa kicheko... Walah namfuata Sangara anipeleke kwa daktari zikaunganishwe...aaaaiiiiseeee!!!! Nimeishiwa pose.....
Tatizo Husninyo hapendi tege kama la denzel...ila nadhani akinifundisha score itaongezeka...Huyu AD mie namtazama tu...ananimind utadhani mie ndio nimeikolokochoa saa.
Ha ha ha ha!! Ngoja tuanze na cha Bajaji, unafanya kama unataka kuchutama umenipata! Then mikono unanyoosha mbele kama unaendesha Bajaji, huku unahakikisha visigino vyako avigusi chini, unawasha Bajaji, yako unaondoka AshaDii. Ha ha ha! Kama nakuona vile, ukitaka kukata kona unalaza kichwa begani ha ha ha! kiduku cha BajajiOMG!!! Mie nilijua kiduku ni kiduku tu.... So typical wabongo mpaka waweke na Sub-viduku.... Niambie basi tofauti zake ili nijue kipi nijifunze...
Mimi toka jana namtizama kwa jicho la tatu....Hapo sasa..... Dah! lol Huyu Sangara naanza kumuangalia kwa jicho langu la tano.....
hahahaha! Ulipotea kwasababu ya usingizi....
Bora wewe umeishiwa pose... Mi hapa sina mbavu kwa kicheko... Walah namfuata Sangara anipeleke kwa daktari zikaunganishwe...
Hahahaha... Nimeshindwa kuzuia kicheko, yani kama nakuona vile....lolHa ha ha ha!! Ngoja tuanze na cha Bajaji, unafanya kama unataka kuchutama umenipata! Then mikono unanyoosha mbele kama unaendesha Bajaji, huku unahakikisha visigino vyako avigusi chini, unawasha Bajaji, yako unaondoka AshaDii. Ha ha ha! Kama nakuona vile, ukitaka kukata kona unalaza kichwa begani ha ha ha! kiduku cha Bajaji