Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Mimi najisifu kwa Tabia ya kupenda kutafuta mtu wa kumpa credit kwa kila nifikiapo kile kinachoaminika kuwa ni success, na pia najisifu kwa tabia ya kupenda ku-save others faces na kubeba matatizo yao.
Na katabia kingine ni kale kakujipenda nilivyo na kirizika na ya kwangu matatizo.
 
I was away and a lot has progressed. I brag ...................

I LIKE TO TRAVEL BUT I HATE TO ARRIVE

​And I travel a lot !!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umebadili avatar Mkuu? I liked the other more. Labda coz I was used to it...
Nimependa brag yako. Not only about you but wengine pia... Big Up mkuu!
 
umenikumbusha aisee.. Umejuaje.. Nikiweka na monalisa smile pale basi weeeeh...
Lol, umenikumbusha rafiki yangu fulani, she is so photogenic! alafu nikimuuliza how she does that (look gorgeous on every picture) anasema ukitaka kupendeza fanya macho 'kama unachungulia'... lol
 
Siri nakunong'oneza
leo usiku kanambia anamfukuza, eti analowesha bed.
Ndo ivo.

Aisee, umbea nafasi! Kumbe Michelle ni wa bukoba eeh? Muache amtoe jasho, si anajidai mjanja? Mjini kugumu!
King, Kongosho anamzushia mwenzie coz she's jealous! The Boss is on honeymoon with Michelle, yeye kaambiwa lini hayo ya kulowesha bed? lol :lol:
 
ujue ntakutumia radi ya 1500
kali sana hii kuliko hata za kalifonia

ngoja nibrag tu japo nilikuwa sitaki, niko nae hapa anamessage miguu yangu.
Raha kama nini

Brag yako ya ukweli.... Lol..
 
Umebadili avatar Mkuu? I liked the other more. Labda coz I was used to it...
Nimependa brag yako. Not only about you but wengine pia... Big Up mkuu!
Ile bado ipo around, itakuwa in the return in short coming....
Thanks for the Big Up, pamoja sana.
 
Lol, umenikumbusha rafiki yangu fulani, she is so photogenic! alafu nikimuuliza how she does that (look gorgeous on every picture) anasema ukitaka kupendeza fanya macho 'kama unachungulia'... lol
hahahaha hiyo nimeipenda mwingine unakuta anafanya kama "yupo mbaaali kimawazo" kumbe pozi la picha tu..
 
ujue ntakutumia radi ya 1500
kali sana hii kuliko hata za kalifonia

ngoja nibrag tu japo nilikuwa sitaki, niko nae hapa anamessage miguu yangu.
Raha kama nini
Naona vita ya wake wenza imeanza rasmi maana kila mmoja anajivunia kua nae muda wote. lol
 
I was away and a lot has progressed. I brag ...................

I LIKE TO TRAVEL BUT I HATE TO ARRIVE

​And I travel a lot !!!!!!!!!!!!!!!!
Where about, do you travel? Coz kuna safari na safari bwana... lol
 
neno kuntu

asije kuwa anaenda magomeni kwa babu mapilau akasema anasafiri.

Watu tuna mivakesheni yetu france, spain , miami, barados na huko kwenye miraha
na bado hatubrag na safari

Kongosho hii yenyewe tu ni Brag! :lol:
Next time ukienda nipeleke basi...
 
Leo I just cant help it Ku BRAG!!!
NYANI NGABU yule Mwenye Signature ya
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
kanigongea Like Thread nzima!!! Kaniongeza nyiiiinge kama
28...
Nimelewa kwa Likes.... Sio kwa sababu napenda saana "Like"
BUT sababu they are From Nyani Ngabu... Peope!!!.
Dah! Lucky ME!!
:majani7:​
 
Umesahau hiki ni kipindi cha Kwarezima? Anafanya malipizi ya dhambi zake. lol.
 
Kama ni hivo basi na mimi ni brag for the reputation power alinigongea.
Mbona he is generous sana tu (but unatakiwa kuongea points)

Naona anagonga likes bila upendeleo. Lazima kwenye maungamo atakuwa ameambiwa agonge likes 8,999 kabla ya Pasaka ili aweze kusamehewa dhambi zake.
 
Back
Top Bottom