FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Mimi ni kisura najitambua
Kaizer ndo kusema shangazi hayupo?
saa moja na dkk nane tayari ushaingia JF..
Shikamoo mjomba? napita tu
Ndo kaniamsha mapema ivo......
afu si ungepita tu jamani bila kuongea kwanza....lol
Kaka nimekumisi sana. Brag about something else other than wifi, manake tunajua anakupenda sana,lol
Yaani KIng'asti nimekumisije ujue? Leo tuonane baadaye for lunch..a good one. Baada ya hayo, naombe kubrag...lol
Ndo kaniamsha mapema ivo......
afu si ungepita tu jamani bila kuongea kwanza....lol
Lunch kaka, ina maana my favorite itakuwa desert ama? Hahaha, u can brag a bit but not about ur sweetie, plz! I beg'ooooo!
Afu usipotee hivyo banaa, aaggghhhrrr!
Kaka nimekumisi sana. Brag about something else other than wifi, manake tunajua anakupenda sana,lol
am I allowed to brag about ....?
Kubali basi nianze
hapo wala usijali your favourite itakuwepo kama kawa King lol karibu.....sana😛oa
Be my guest Konnie (nimeona ndo jina la town siku hizi).
Actually u will give me an insight on where to explore more, hehehe!
he he he, huyu Lizzy hana maana
kalazimisha kongosho kuwa konnie
anyway, nimemsamehe
Ngoja nianze kubrag
sema SUUU
Huu mwanya kama pengo nikitamka tu hilo neno king'amuzi chote kitanyeshewa mvua ya mate, na mwamvuli sina! Nimesemea kwenye kikombe, umeskia? Naenda kumwaga mate nikirudi nikute umebrag baraza limejaa!
he he he, kubrag raha
naskia raha mie jamani
Unantania eh? Brag bana, ama unamuogopa bi mdogo michelle?
Mie huko sihamii, nimekuwa wa viwanja tu! Mambo ya kukagua mashati kama yana vifungo nani anataka sasa? Hehehe
I hate you.
Siri nakunong'oneza
leo usiku kanambia anamfukuza, eti analowesha bed.
Ndo ivo.
he he he, huyu Lizzy hana maana
kalazimisha kongosho kuwa konnie
anyway, nimemsamehe
Ngoja nianze kubrag
sema SUUU
Mbona sina cha ku "brag" mmh... Ngoja ntafute....