Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Hahahahahaha, hana dini yule!Naona anagonga likes bila upendeleo. Lazima kwenye maungamo atakuwa ameambiwa agonge likes 8,999 kabla ya Pasaka ili aweze kusamehewa dhambi zake.
Mkuu Nyani Ngabu, changia basi tuelewe nini kimekutokea leo. lol