Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Aisee...Mwali hebu help me identify what I personally really need to brag of? LOL

(Shangazi hadi leo hajaweza kuniambia madai yake nitavimba kichwa lol)
Kwangu mimi you are a VERY SUPPORTIVE person, na UNASIKILIZA WATU zaidi kuliko kuongea, na bila kuwajudge... Kwa hilo unaweza kujivunia! Mengine ataongeza Anti mwenyewe.
Shkamoo Uncle... 🙂
cupoftea2.jpg
 
Dah!! Nitaingia baadae kuona "brag" ya nani inavutia/furahisha/chekesha na kosha..... Thank you for bragging guys, hope you keep on bragging once in a while......
 
Kwani umekwenda wapi? ukirudi usisahau kututaarifu habari za utokako.
 
Mi nimependa ya WoS... 😛oa
 
Mkuu, hapo kweli unaweza kutamani ila sasa it is only for me...and I brag of my niece Mwali. Yes, rightly so. Thank you Mwali

KAizer,

Sasa kama Doc amesema na mimi nitumie hii kitu inakuwaje? naweka order binafsi??? eeeh
 
hahha Kama unaumwa 'ugonjwa' sawa na wa kwangu, why not? Umeambiwa hiyo 'prescription' ni ya kwangu tu...
 
Dah!! Nitaingia baadae kuona "brag" ya nani inavutia/furahisha/chekesha na kosha..... Thank you for bragging guys, hope you keep on bragging once in a while......

Sweetie nadhani mine should come first...no matter what...it is the best LOL (OMG is this bragging too?)
 
Kwani umekwenda wapi? ukirudi usisahau kututaarifu habari za utokako.

mambo yamebana dear.... kua na weekend njema na endelea na ukaguzi kwenye thread.....lol... naona unafanya kazi yako vizuri.

Duh! Kama uncle tu anahudumiwa hivi itabidi nikumchukue jumla tu nijue moja!!!!

Maundumula.... hio anayo provide Mwali ni replica ya robo tu! ya what sweetie Kaizer gets from me... Mwali bado kwenye mafunzo kwangu na ni obedient student, na ndio maana nimemkabidhi kwa ankal wake mie sina wasi kabisa najua my Man is being handled fine na just the way he wants.. (dah! hivi hapa nimebrag?)

Sweetie nadhani mine should come first...no matter what...it is the best LOL (OMG is this bragging too?)
i

Sweetie, that is not braggin, it is stating the facts..... Of coz you know you come first as well as your mahitaj, chai from Mwali, food from Cantalisia, escort ya kanisani from Michelle....:eyebrows:

Nakuacha hapa Sweetie Mwali will take care of you.... ngoja nikafanye yale maandalizi..... Kupokea mkwe shurti ujiadae..... Be good.
 
Kaizer,

Wewe sasa si upo na Professor hapo Ashadii! huyu intern Mwali niachie ahamie kwangu, I need to nurture her to become just as good as auntie hapo. Maana akifanya mafunzo bila vitendo kazi buree , bora aje hapa kwa majaribio.

Hiyo prescription i hope ni ya "over-the-counter" nikijihisi maumivu kama yako natumia.
 
Hahaha...Hapo kwa Prof.Sweetie AshaDii....ndo kwa vitendo kabisa nadhani usubiri kidogo amalize na kupata cheti akija kwako....hakuna kuremba lol
halafu for this prescription, ni hadi kwa maelekezo Dr....in this case Mwali..huwezi kuipata over the counter ...
 
Kaizer ndo kusema shangazi hayupo?
saa moja na dkk nane tayari ushaingia JF..
Shikamoo mjomba? napita tu
 
Back
Top Bottom