Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

muonekano wangu unaongea kila kitu!!!pamba na kunukia ni nyongeza!!
 
we zako mbona sijaziona!!
Basi hukupitia thread yote. Niliwahi sema kua najivunia kua a winner.
Kila kitu nikitaka na nikiamua kua nacho hua sishindwi.
Of course na mimi natumia busara, natamani vitu within realist reach.
 
waooh! Hongera cousin.
 
Nambie basi pole pole, hakuna atakae sikia. lol
Anti alibrag she has sexy lips (Which I can confirm)

hehehe! Nilikuwa sijaona hiyo. Aunt yupo juu. Tatizo mi huwa siwezi kujisifia cousin ndio maana nashindwa.
 
WoS alisema wengine wajisifie weeeee, yeye anakaa anawatazama tu.
Na hiyo ilipokelewa kama brag pia. Na wewe unataka kuleta hizo?
 
yah, wengine wakijisifia wengine hatuwezi.
 
i got money nigga,mi cash king at the age of 26 doin big things nigga,got bling bling,mansion and cars,travelling a lot,miami,dubai,mombasa,new york,london,denmark,kampala,nairobi,washington,maryland,new jersey,indiana,ohio etc.damn im tired,tanzanite and gold pay a lot,na bzness kubwa kubwa sana,na nimeplan mwaka huu kuhost party ya wanajf wote ambao watakuwa tayari kuja,nitawajulisha,
 
Mie ni event planner

Naomba kupata kazi ya kuiandaa na kuipa jina ili iwe na mvuto zaidi.

i got money nigga,mi cash king at the age of 26 doin big things nigga,got bling bling,mansion and cars,travelling a lot,miami,dubai,mombasa,new york,london,denmark,kampala,nairobi,washington,maryland,new jersey,indiana,ohio etc.damn im tired,tanzanite and gold pay a lot,na bzness kubwa kubwa sana,na nimeplan mwaka huu kuhost party ya wanajf wote ambao watakuwa tayari kuja,nitawajulisha,
 
I have the most amazing family in the world...
 
What do you brag about?

I have this direct hotline that allows me to talk to the 'Man Upstairs' anytime and anywhere.It is called 'Praying'.
Plus i got the most active 'appetite' a human being can wish for 🙂
 
Back
Top Bottom