Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,916
- 6,919
🤣🤣 Kwani hata hayo si mapenzi jamaniNilijua tu 🤣🤣🤣 Shenziii wewe
Naona umekuja kama shemasi shenzi wewe 🤣🤣 basi sikupendiMungu ni pendo ndugu mdau,
na ni muhimu sana tupendane, na tuamini katika yeye pekee, ili hatimae upendo wetu udumu zaidi na kua wa furaha na amani
Tunaongelea huba la kimahaba🤣🤣🤣 Kwani hata hayo si mapenzi jamani
Ndio huyu Meghan?😀She was my love at first sight...
Tukkawa separated, ila sikuwahi kumsahahu... Nimejaribu ku replace ila naona siwezi, no one can make me feel like her.. Maybe it wasn't meant to in this lifetime
CC meghan markle
Hapana mkuu😂 huyo ni rafiki ang wa faidaNdio huyu Meghan?😀
Una imagination mbaya jaribu uone😉Utaniumiza tu mwisho wa siku.....hahah
Yes sirNimefurahi kusikia hivyo!
Exactly 💯Niseme kwa uchache tu upendo wa kweli upo.
Yakishindikana hayo inabidi urudi tu kupendana na wazazi wako 😁Tunaongelea huba la kimahaba🤣
Usijizime data
Sawa let's do and see......Una imagination mbaya jaribu uone😉
We kuna kitu unapenda zaidi ya hayo mapenzi, au sio binti😀😀😀😀Mapenzi yapo halafu matamu, nkiumizwa asubuhi jioni nshafall tena naendelea..... Mi siachi mapenzi hadi yaniue
Polee sana rudiana nae tuShe was my love at first sight...
Tukkawa separated, ila sikuwahi kumsahahu... Nimejaribu ku replace ila naona siwezi, no one can make me feel like her.. Maybe it wasn't meant to in this lifetime
CC meghan markle
Heh mbona🤣🤣Ukutane na mwanamke ambaye hajawahi kuumizwa na mtu, utaenjoy. Ukikutana na chuma kimenolewa kikawa kikali, utakoma😀😀
katika unyonge nilionao, umaskini umaskini nilio nao, elimu kidogo niliyonayo, mavazi na makazi yangu duni niliyonayo, kuna mwanamke anaweza kuniamini na kunipenda kweli mimi?Naona umekuja kama shemasi shenzi wewe 🤣🤣 basi sikupendi
🤣🤣🤣 kata mti panda mtiMapenzi yapo halafu matamu, nkiumizwa asubuhi jioni nshafall tena naendelea..... Mi siachi mapenzi hadi yaniue
Na uzee huu kweli?Polee sana rudiana nae tu
Maana utakufa kwa msongo🥲
hivi wewe unaniona kama bibi yako🤣🤣katika unyonge nilionao, umaskini umaskini nilio nao, elimu kidogo niliyonayo, mavazi na makazi yangu duni niliyonayo, kuna mwanamke anaweza kuniamini na kunipenda kweli mimi?
nadhani nastahili upendo wa Mungu pekee
Shenziii zako najua pakukukamatia😂😂,
hata hivyo,
ukinipenda kwa matendo kwenye mazingira na hali ya hewa inayoruhusu, siwezi kujivunga au kukawia hata kwa sekunde moja kujibu mapigo ya upendo huo on the spots.