Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,800
- 6,294
Wakuu!
Time travel, Human Super power, Super Magic power n.k Ni vitu ambavyo navifatilia kila nnapopata nafasi, Na nimekua inspired na bandiko la siku la Pasco kuhusu Power within.
Leo nataka kusikia maoni ya wadau wa jf, labda uzoefu pia.
Kuna watu hapa wanaamini uwepo wa Time travelers?
Kuna mtu keshawahi Ku experience hii kitu!?
Do the Time travel really exist?
Kuna clip fupi kuhusu time traveler mmoja ambaye ame share experience yake aliposafiri kwenda miaka 70, na Bahati nzuri alikua na simu yake so akaji record mwenyewe clip fupi.