Do Not Touch My GF

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
768.gif
 
Kwenye hizi issue hata hizo nguvu sijui zinatokea wapi...
 
Hawa jamaa hawakujua kama wanachezea mali za Nikolai Valuev? Wmekiona cha moto sasa. Chezeiya mali ya Boxer wewee?
 
Kwenye hizi issue hata hizo nguvu sijui zinatokea wapi...

Hii kitu hii kitu! Inaweza ikakufanya hata ukafa manake. ubavu mdogo lakni utataka kujitutumua na kuionyesha hyo kibox manyoya kwamba unaweza!
 
Dah...mbele ya demu hakuna mnyonge..hivi ile kitu ina siri gani down there?
 
usimchezee njembaa akiwa na mamaa,
hata akiwa na mwili mdogo anaweza tuna kama tembo,
 
Back
Top Bottom