Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,310
- 157,568
Sex ina maana ya jinsia aidha ya kiume au kike ,ndio maana unaweza kuulizwa your gender au your sex
Sex pia ina maana ya kuingiliana
Kutombana kunakujaje bila ya gender ase
Msingi wa neno sex ni nini?