Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Si baada ya kutuacha ndo tunawaita hivoMbona hata mademu nao huwa wanatuita men EX!!
Hivi sexy kwenda Kiswahili ukitaka kuitafsiri moja kwa moja inakuwaje hapo?
..a mvuto
Mimi nilitaka direct translation, kama sex ni kutombana, sexy itakuwa nini?
Nataka kuangalia jamii tofauti zinavyoliangalia tendo hili tofauti.
Kiingereza ukimwambia mtu "You are sexy" umemsifia, anakwambia "Thank you".
Kiswahili natafuta neno (the closest I can get is "kutombwatombwa")
Imagine umekutana na mdada humjui halafu unamwambia "Dada umekaa kutombwatombwa kweli".
Niambie vurugu lake hapo.
Ana mvuto gani?Direct translation ya sexy [: sexually appealing, attractive, or exciting] haiwezi kuwa 'kutombwatombwa' kwa sababu sex na sexy havina maana sawa.
Mdada akiwa 'sexy' maana yake ni kwamba 'ana mvuto'.
Ana mvuto gani?
Hata Bikira Maria ana mvuto wa kidini kwa Wakatoliki, lakini hatusemi kwamba Bikira Maria ni sexy, well, if at all we are not into some overly perverted kinkiness anyway.
It is obvious from the etymology of sexy, sex, that sexy has a sexual connotation.
Ana mvuto, wa kutombwatombwa.
Si mvuto wa kula kama harufu ya pilau.
sexy ni mvuto ila mvuto wa mapenziHivi sexy kwenda Kiswahili ukitaka kuitafsiri moja kwa moja inakuwaje hapo?
sexy ni mvuto ila mvuto wa mapenziHivi sexy kwenda Kiswahili ukitaka kuitafsiri moja kwa moja inakuwaje hapo?
Au ana mvuto wa kutiwatiwaAna mvuto gani?
Hata Bikira Maria ana mvuto wa kidini kwa Wakatoliki, lakini hatusemi kwamba Bikira Maria ni sexy, well, if at all we are not into some overly perverted kinkiness anyway.
It is obvious from the etymology of sexy, sex, that sexy has a sexual connotation.
Ana mvuto, wa kutombwatombwa.
Si mvuto wa kula kama harufu ya pilau.
Mh kazi kweli kweliAna mvuto gani?
Hata Bikira Maria ana mvuto wa kidini kwa Wakatoliki, lakini hatusemi kwamba Bikira Maria ni sexy, well, if at all we are not into some overly perverted kinkiness anyway.
It is obvious from the etymology of sexy, sex, that sexy has a sexual connotation.
Ana mvuto, wa kutombwatombwa.
Si mvuto wa kula kama harufu ya pilau.
Duh! Hii mbona ni rahisi sana...
Katika muktadha kama huo mvuto uliopo ni wa kimahaba, mapenzi, ashiki, hanjamu, hawaa, muhu.....
Hiyo ya kutombwatombwa, hapo umepotoka kabisa na sijui hata umeitoa wapi.
Kiingereza cha kutomba ni fu.ck, siyo 'sex'.
[Having sex] Kiswahili chake ni 'kujamiiana'.
Nilitaka tafsiri ya moja kwa moja ya neno kwa neno.sexy ni mvuto ila mvuto wa mapenzi
Lugha iko hivyo. Ina maneno yanayopunguza ukali wa maneno yanayoonekana ni makali.Sasa kujamiiana na kutombana tofauti yake nini kama si polite society version vs brutal honest version of the same thing?
sex
coitus.
5.
genitalia.
verb (used with object)
6.
to ascertain the sex of, especially of newly-hatched chicks.
Verb phrases
7.
sex up, Informal.
Idioms
- to arouse sexually:
The only intent of that show was to sex up the audience.- to increase the appeal of; to make more interesting, attractive, or exciting:
We've decided to sex up the movie with some battle scenes.
8.
to have sex, to engage in sexual intercourse
Si wanasema hapa kazi tu? Au tetemeko limefunga kazi?Mh kazi kweli kweli
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] kiranga nafanya nini kune avatar yakoHivi sexy kwenda Kiswahili ukitaka kuitafsiri moja kwa moja inakuwaje hapo?