Do not call me sexy....

Do not call me sexy....

Lugha iko hivyo. Ina maneno yanayopunguza ukali wa maneno yanayoonekana ni makali.

Mdada kuwa sexy tafsiri yake si amekaa kutombwatombwa.

Tafsiri yake ni ana mvuto. Anavutia.
Ana mvuto gani?

Wa kuliwa kama pilau?
 
Kulalake watu mna maneno yenye ukakasiiii mmm...
 
Mimi nilitaka direct translation, kama sex ni kutombana, sexy itakuwa nini?

Nataka kuangalia jamii tofauti zinavyoliangalia tendo hili tofauti.

Kiingereza ukimwambia mtu "You are sexy" umemsifia, anakwambia "Thank you".

Kiswahili natafuta neno (the closest I can get is "kutombwatombwa")

Imagine umekutana na mdada humjui halafu unamwambia "Dada umekaa kutombwatombwa kweli".

Niambie vurugu lake hapo.
Sex pia ina maana ya gender ,so siyo kila sex ni kutombna
 
Hahaaa haya bana.

Nahisi umeelewa ila umeamua kubisha tu.
Tatizo si kuelewa au kutoelewa, tatizo ni context na framework, depth na sociology.

Jamii za Kiingereza zina tolerate kujamiiana katika lugha zaidi ya jamii za Kiswahili.

Ndiyo maana ukitaka kufanya direct translation - emphasis on direct translation, si polite society translation- ya neon sexy, kwa kuangalia etymology, kumwambia mtu "sexy" katika Kiswahili ni tusi.

Kwa sababu tendo la kujamiiana ni taboo kuzungumziwa kwa wazi katika Kiswahili.

Kiingereza hata jengo unaweza kuliita "sexy". kwa sababu tendo la kujamiiana limeshafanywa la kawaida sana.

Si ajabu kuna watu huko wanajamiiana na majengo!

Kwa sababu wanayapenda. See objectophilia

Kitu ambacho Mswahili wa kawaida ukimwambia ataona wazimu.
 
Gender inakujaje bila kutombana?
Sex ina maana ya jinsia aidha ya kiume au kike ,ndio maana unaweza kuulizwa your gender au your sex

Sex pia ina maana ya kuingiliana

Kutombana kunakujaje bila ya gender ase
 
Hata ukifanya direct translation, sex kwa Kiswahili si kutomba wala kutombwa.

Kutomba kwa Kiingereza ni fu.ck.

Kwa msingi huo, sexy haiwezi kuwa kutombwatombwa au kutombatomba.

Halafu, kwenye lugha ni muhimu sana kuangalia muktadha ili uweze kupata tafsiri sahihi ya kitu.

Usipoangalia na kuzingatia muktadha utajikuta unapotoka tu.
Again, wajukuu wa Shaaban Robert wa ivory Towers wanaita sex na kujamiiana, watoto wa kitaa Ubaya ubaya tunaita f.u.ck na kutomba.

Kitendo kile kile.

Hao wajukuu wa Shaaban Robert wanafanya polepole kwa mashauzi, watoto wa Ubaya Ubaya wanapiga kama pumps hydraulics.

Mchezo ni ule ule.
 
Back
Top Bottom