Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Hahaha nasikia zinajengewa runway yake kama mwendokasi ndege zingine walie tu, halafu wameng'oa siti wamechomelea bomba za kushikilia wanajiandaa kwa mafuriko ya abiria, abiria mtasimama hakuna kukaa.
Aiseeh!, kwa mzee wa chato usukute haya yote yanawezekana! 😀