Do Airplanes Reverse? Have Side Mirrors??

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
The key, of course, is that side or rear view mirrors have a very different purpose on airplanes. They certainly aren’t for reversing, passing, or changing lanes!

Airplanes do not have a transmission. The wheels turn freely; all power for movement comes from the jet engines, which generate thrust by pushing air back. Turboprop engines have gearing and are capable ofreversing direction, by placing the throttle in what is called the "beta range."

2018-02-25-18-50-03--2128713479.jpeg
2018-02-25-18-50-03--2128713479.jpeg

Heey people, Happy Sunday!

Kwa kitambo sass nimekuwa nikitumia usafiri wa ndege au aeroplane, sasa siku moja nikiwa niko ndani ya ndege ila bado hatujaanza kupaa au kuondoka, nikaona ndege jirani inarudi kinyumenyume tayari kuanza safari ya kulitafuta anga. Lakini hiyo ndege ilikuwa inarudishwa nyuma na kama kagari kameweka bomba refu la chuma ambalo linasukuma matairi ya mbele.

Nikajiuliza je, ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe kama gari hadi isukumwe? Je inahitaji side mirror ili kuona nyuma na pembeni asijegonga ndege nyingine?

Nimejiuliza nikakosa jibu, nikamuuliza doctor Google ndo kanipatia hiyo English hapo juu. Bado sijaelewa wala sijapata jibu, mwenye ujuzi tafadhali anieleweshe au ndo hadi nikasomee u pilot?

Kasie Matata.
 
Kuna jamaa mmoja huku aliandika uzi unaohusu masuala ya ndege..alielezea vizuri sana mkuu ..ngojea aje
 
Ofcourse zinarudi, ila mara nyingi huwa zinakuwa towed na magari makubwa ili kuokoa mafuta
 
The key, of course, is that side or rear view mirrors have a very different purpose on airplanes. They certainly aren’t for reversing, passing, or changing lanes!

Airplanes do not have a transmission. The wheels turn freely; all power for movement comes from the jet engines, which generate thrust by pushing air back. Turboprop engines have gearing and are capable ofreversing direction, by placing the throttle in what is called the "beta range."
View attachment 701380 View attachment 701380

Heey people, Happy Sunday! !

Kwa kitambo sass nimekuwa nikitumia usafiri wa ndege au aeroplane, sasa siku moja nikiwa niko ndani ya ndege ila bado hatujaanza kupaa au kuondoka, nikaona ndege jirani inarudi kinyumenyume tayari kuanza safari ya kulitafuta anga.
Lakini hiyo ndege ilikuwa inarudishwa nyuma na kama kagari kameweka bomba refu la chuma ambalo linasukuma matairi ya mbele.

Nikajiuliza je, ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe kama gari hadi isukumwe? Je inahitaji side mirror ili kuona nyuma na pembeni asijegonga ndege nyingine?

Nimejiuliza nikakosa jibu, nikamuuliza doctor Google ndo kanipatia hiyo English hapo juu. Bado sijaelewa wala sijapata jibu, mwenye ujuzi tafadhali anieleweshe au ndo hadi nikasomee u pilot?

Kasie Matata.
Iliandikwa bwana shebedayo kichwa habari kikiwa ni "Tujifunze kidogo elimu ya ndege"
Habari Wanajukwaa

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri.

Kuna tangazo moja la redio la malaria huwa linanivutia sana, mtoto anamuuliza baba yake kuhusu ndege inavyoweza kupaa angani. Mzee kutokuwa na elimu hata kidogo tu ya aviation anajitetea kwa kumwambia mwanaye hayo ni maarifa ya juu sana.

Ndege nini! Ndege ni chombo ambacho kinasafiri angani kwa kutumia kani mnyanyuo (Lift force) inayozalishwa hasa kwenye mabawa kutokana na uhusiano wa mwendo kati ya hewa na ndege yenyewe.

Ndege ina sehemu kuu tano, yaani; Injini (Power plant), bodi la ndege (fuselage), mabawa (wings), Mkia (Empennage) na Mfumo wa matairi (Landing gear).

1: POWER PLANT; hii ni sehemu ya ndege inayohusika na uzalishaji wa kani msukumo (Thrust force). Hii ndiyo kani (force) inayoisogeza ndege kutoka point A kwenda point B ikiwa angani.

2:FUSELAGE; Hii ni sehemu ya ndege ambapo sehemu zingine zimeunganishwa kwayo. Pia nyiyo sehemu ambapo abiria, wafanyakazi wa ndege na mizigo hukaa.

3:MABAWA; Hii ni sehemu ya ndege yenye umbo la "aerofoil" ambayo inahusika na kuzalisha kani mnyanyuo (LIFT FORCE). Hii ndiyo kani inayoifanya ndege ielee angani.
Aerofoil ni umbo ambalo huzalisha kani-mnyanyuo kutoka na tofauti ya mgandamizo wa hewa wa chini na juu ya umbo hili. Hii ni kutokana na utofauti wa ukubwa wa eneo la chini na juu. Eneo la juu huwa kubwa zaidi ya lile la chini, hivyo kusababisha hewa ya juu kusafiri kwa kasi zaidi ya ile inayopita chini ili kuweza kukutana pamoja katika muda ule ule (LAW OF CONTINUITY). Kasi ya hewa ikiongezeka basi mgandamizo wake hupungua (PRESSURE)

Hiki ndicho kinachotokea kwenye mabawa ya ndege. Mgandamizo wa hewa chini unakuwa mkubwa kuliko juu, hivyo kani-mnyanyuo kuzalishwa. Ikumbukwe kwambo umbo zima la ndege lipo katika aerofoil. Hivyo nalo huchangia kani-mnyanyuo japo kwa kiasi kidogo ikilinganishwa na ile inayozalishwa kwenye mabawa.

4:EMPENNAGE; Hii ni sehemu ya ndege kwayo kunapatikana maumbo yanayoipa ndege "U-stable" katika mihimili yake na vifaa vinavyoifanya ndege iweze kutembea (move) katika mihimili yake. (Tutaangalia huko mbele mihimili ya ndege ni nini). Katika sehemu ndipo kuna "horizontal na vertical stabilizers".

5:LANDIND GEAR; Huu ni mfumo mzima wa matairi ambao unaohusika na kuisaidia ndege kutembea juu ya njia ya kurukia (RUNWAY) wakati wa kuruka na kutua, vilevile wakati wa kwenda sehemu ya matengenezo (HANGAR)
 
Ndege huwazinarudi reverse

Yeah nafahamu zinarudi nyuma, ila nilichoona ni hadi zisukumwe au zipate support ya kurudi nyuma. Zenyewe kama zenyewe haziwezi kurudi reverse hadi zipatiwe support ya kusukumwa?
 
Ofcourse zinarudi, ila mara nyingi huwa zinakuwa towed na magari makubwa ili kuokoa mafuta

Ooh hapa sad ndo umenipa sababu, kuwa ile kusukumwa kusudi ni kukoa mafuta. Asante kwa ufafanuzi.
 
Bombadier zinazo side mirror

Hivo eeh, kiukweli sijawahi panda bombardier nilikuwa nakuta taswira ya madege makubwa kama za Emirates, KLM, British Airways je nazo zina side mirrors?
 
Iliandikwa bwana shebedayo kichwa habari kikiwa ni "Tujifunze kidogo elimu ya ndege"
Habari Wanajukwaa

Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri.

Kuna tangazo moja la redio la malaria huwa linanivutia sana, mtoto anamuuliza baba yake kuhusu ndege inavyoweza kupaa angani. Mzee kutokuwa na elimu hata kidogo tu ya aviation anajitetea kwa kumwambia mwanaye hayo ni maarifa ya juu sana.

Ndege nini! Ndege ni chombo ambacho kinasafiri angani kwa kutumia kani mnyanyuo (Lift force) inayozalishwa hasa kwenye mabawa kutokana na uhusiano wa mwendo kati ya hewa na ndege yenyewe.

Ndege ina sehemu kuu tano, yaani; Injini (Power plant), bodi la ndege (fuselage), mabawa (wings), Mkia (Empennage) na Mfumo wa matairi (Landing gear).

1: POWER PLANT; hii ni sehemu ya ndege inayohusika na uzalishaji wa kani msukumo (Thrust force). Hii ndiyo kani (force) inayoisogeza ndege kutoka point A kwenda point B ikiwa angani.

2:FUSELAGE; Hii ni sehemu ya ndege ambapo sehemu zingine zimeunganishwa kwayo. Pia nyiyo sehemu ambapo abiria, wafanyakazi wa ndege na mizigo hukaa.

3:MABAWA; Hii ni sehemu ya ndege yenye umbo la "aerofoil" ambayo inahusika na kuzalisha kani mnyanyuo (LIFT FORCE). Hii ndiyo kani inayoifanya ndege ielee angani.
Aerofoil ni umbo ambalo huzalisha kani-mnyanyuo kutoka na tofauti ya mgandamizo wa hewa wa chini na juu ya umbo hili. Hii ni kutokana na utofauti wa ukubwa wa eneo la chini na juu. Eneo la juu huwa kubwa zaidi ya lile la chini, hivyo kusababisha hewa ya juu kusafiri kwa kasi zaidi ya ile inayopita chini ili kuweza kukutana pamoja katika muda ule ule (LAW OF CONTINUITY). Kasi ya hewa ikiongezeka basi mgandamizo wake hupungua (PRESSURE)

Hiki ndicho kinachotokea kwenye mabawa ya ndege. Mgandamizo wa hewa chini unakuwa mkubwa kuliko juu, hivyo kani-mnyanyuo kuzalishwa. Ikumbukwe kwambo umbo zima la ndege lipo katika aerofoil. Hivyo nalo huchangia kani-mnyanyuo japo kwa kiasi kidogo ikilinganishwa na ile inayozalishwa kwenye mabawa.

4:EMPENNAGE; Hii ni sehemu ya ndege kwayo kunapatikana maumbo yanayoipa ndege "U-stable" katika mihimili yake na vifaa vinavyoifanya ndege iweze kutembea (move) katika mihimili yake. (Tutaangalia huko mbele mihimili ya ndege ni nini). Katika sehemu ndipo kuna "horizontal na vertical stabilizers".

5:LANDIND GEAR; Huu ni mfumo mzima wa matairi ambao unaohusika na kuisaidia ndege kutembea juu ya njia ya kurukia (RUNWAY) wakati wa kuruka na kutua, vilevile wakati wa kwenda sehemu ya matengenezo (HANGAR)

Asante kwa somo zuri, umenikalisha darasani na ujuzi nimeuongeza.
 
Ngoja nimwite haraka mzee wa msoga aje atoe ufafanuzi kabla hatujaanza kudanganywa
 
Ooh hapa sad ndo umenipa sababu, kuwa ile kusukumwa kusudi ni kukoa mafuta. Asante kwa ufafanuzi.
Yeah maana kuliwasha tu lile jet moja mpaka lichanganye halafu unalizima tena is very uneconomical, pia sababu nyingine ni ili kuepusha kupasua vioo vya majengo ya terminal maana wakati wa kushusha huwa linakuwa karibu na jengo, sasa ule upepo ukiwasha engine unaweza kuvunja vioo vya jengo.
 
Ofcourse zinarudi, ila mara nyingi huwa zinakuwa towed na magari makubwa ili kuokoa mafuta
Mmmmhhh, I won't buy this. Fraction ya mafuta itakayotumika ni chini ya 0.01% ya mafuta ya safari yote, hivyo sioni kama ni sababu yenye mashiko. Hebu tupige fiksi nyingine iliyokaribu na ukweli basi.
 
Yeah maana kuliwasha tu lile jet moja mpaka lichanganye halafu unalizima tena is very uneconomical, pia sababu nyingine ni ili kuepusha kupasua vioo vya majengo ya terminal maana wakati wa kushusha huwa linakuwa karibu na jengo, sasa ule upepo ukiwasha engine unaweza kuvunja vioo vya jengo.
Hii ya kuharibu jengo angalau ninaweza kuielewa maana thrust inayotengenezwa na zile engines inatosha kupuliza na kurushia mbali gari.

Ila ya 'kuwasha na kuzima' ni fiksi nyingine unatupiga. Kwanza kuna sababu gani ya kuwasha na kuzima tena? Kama wameweza kutengeneza push-forward thrust wasingeshindwa kutengeneza push-back thrust on the same engines
 
Unawasha ili kureverse kutoka kwenye passenger bay ili kupisha ndege nyingie, kisha una-taxi hadi kwenye lot nyingine kusubiri abiria at a later time ambapo utaizima. Sasa ni bora tu ulivute kuliko hiyo process.
 
Samahani kaka, wewe ni Pilot....
Of recent nimekuwa na shauku ya kukaa kwenye kile chumba cha marubani kinaitwa cockpit nadhani. Walau niwe rubani mtazamaji.... ikiwa wewe ni pilot, ntaomba uniruhusu niwe abiria kwenye flight yako (ntalipia ticket) lakini nikae huko cockpit ukiwa unaendesha unanielekeza kila kitu.... aawww na uzee huu sijui sitaogopa hehehehehhe.

Hivi kwa umri huu naweza kubadili fani na kuwa rubani...!!?
 
Hii ya kuharibu jengo angalau ninaweza kuielewa maana thrust inayotengenezwa na zile engines inatosha kupuliza na kurushia mbali gari.

Ila ya 'kuwasha na kuzima' ni fiksi nyingine unatupiga. Kwanza kuna sababu gani ya kuwasha na kuzima tena? Kama wameweza kutengeneza push-forward thrust wasingeshindwa kutengeneza push-back thrust on the same engines
Kuharibu jengo nayo haiwezekani kwakuwa mda huo mzunguko wa engine unakuwa mdogo, mzunguko unakuwa mkubwa pale inapokuwa kwenye runway ikijiandaa kutakeoff.
 
Back
Top Bottom