cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,317
- 1,666
Kwanini kufunika kikombeHaya mambo hayakuanza Leo, ndio ukitaka kuchunguza sana unaweza kukuta wewe si mtoto wa Baba yako, au babako sio mtoto wa babake
Ndo wahenga wanasema funika kombe mwanaharamu apite, tatizo siku hizi hatufuniki, na hata ukifunika mwanaharamu analibutua![]()
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
