DNA: Nusu ya watoto ni wa kusingiziwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,610
2,000
Katika vipimo hivi vya DNA ni kweli makosa yanaweza kufanyika na hivyo kurudisha results ambazo haziko accurate. Kwa mfano kuchukua sample ya Mr A na kudhani ni ya Mr B. Hao watendaji katika maabara hizo wana uaminifu kiasi gani? Hawawezi kupokea rushwa ili kuonyesha kwamba majibu ni positive/negative ili kumridhisha mtoaji rushwa!?
 
driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,118
1,250
Yani huyu kwao ndio wana asili ya weupe na nywele za kuteleza..!? Au nimekosea kusoma hii habari...! Yani huyu mama ni mjinga kweli..! Hivi kwanini usitulie kwenye ndoa tu..!? Cheki alivo jishushia heshima...! Mama zima aibu tupu...!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,444
2,000
Hapo ndiyo unahitaji vipimo vya pili na tatu kutoka maabara tofauti.

Ila na huko vikirudisha majibu hayo hayo basi huyo mwanamke atakuwa ni mrongo na mzinzi.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,610
2,000
Kama pochi yako inakuruhusu NN, si uliona gharama ni shilingi 300,000 sasa ni wangapi wanaweza kuzitoa pesa kama hizi kwa mkupuo ili kuhakikisha kama mtoto ni wa halai au la? Mishahara yenyewe ya kwetu ni kiduchu.

Yeah ni kweli. Ila dawa hapo ni moja tu nayo ni kuwa mwaminifu na kutokutoka nje ya ndoa.

Lakini pia sitarajii mwanamke kukubali tu kirahisi rahisi kuwa alitoka nje ya ndoa with the exclusion of catching her red handed.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,610
2,000
Wengi wakishastukia matokeo ya DNA kwamba wakati mwingine yanaweza kuwa na makosa basi hakuna atakayekubali kwamba alitoka nje kwa matokeo ya kwanza. Shurti yarudiwe mara mbili au tatu, sasa kama pochi ya njemba ni ya njiwa itakula kwake.

Top Bottom