DNA: Nusu ya watoto ni wa kusingiziwa

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,290
2,000
NEVER NEVER TRUST A WOMAN alafu full kubisha hapa oh wanaume lazima muwe na responsibility mwanamke akishika mimba...pumbaf!!
 

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,427
2,000
babab v unafikiri wale watoto wote ni wako??na wewe unadhani ni mtoto halali wa baba yako ??haya mambo yaacheni wanaume mtalia kama mbwa huko njiani wachaneni we songesha maisha yaende ilhali hakuna aliyekuja dai mtoto we lea tu atakufaa mbeleni
NIVEA,umejibu kwa kujiamini mno mama,do you have a secret?watoto wako wote ni wa mmeo?
 

Mentali

Member
Dec 3, 2012
81
0
Sasa mie nimeshasomesha wengine wamemaliza chuo kikuu nafanyaje niwakane? na kwa nini akina mama zetu mnatufanbyia hivi jamani!?
we wala usijisumbue vumilia tu mradi kashatumia hela yako mwache naye akulee ukiwa mzee.
 

Mentali

Member
Dec 3, 2012
81
0
haya mambo yapo na ni ya zamani sana,labda hii mashine ndiyo imekuja kuwa stua wa2 sasa,lakini kwa sisi wa2 wa pwani tunayaua haya tangu kale ndo wanavyofundishwa wanawake wa pwani yote hii,kuanzia walugulu,wazaramo,wakwere,watu wa tanga hasa hasa wadigo,watu wa kusini wote mchezo wao huu,warangi,wambulu,n.k,zamani walikuwa wanafundishwa kuhusu mafiga ma3,yani wote wanamsapoti kinamna,kuna wakati mwingine mwanamke anaweza akampenda sana jamaa fulan akamwambia kabisa ni lazima niipate sura yako na kweli atafanya mautundu atambambikizia mume wake mimba,karibuni makabila yote huwa wanafundishwa kuwa endapo umekaa mwaka 1 kwenye ndoa bila kupata mtoto na umejaribu kujikamatisha imeshindikana basi ni lazima utafute jamaa wa nje amsaidie mumewe kumzalia watoto,na hii ndio sana yani ukijiona wewe umepita muda demu wko hajapata mimba tangu umemwoa hallaf ghafla unaona ana mimba jua kuna walakin ila unabidi ukubai tu mana kakutaftia mtu wa kukusaidia ndoa isikose mtoto,haya mambo siyo afrka tu hata huko ulaya pia inasadikika mtoto wa mfalme prince harry syo mtoto wa prince charles,pale diana alichakachua ila ni siri nzito huko kwao,mana chalres alisaidiwa.
 

FuturePresident

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
322
195
kuthibitisha ukweli wa vipimo vya DNA, we pima mama na mtoto wake bado havitakubaliana pia. Hii DNA ni DuNiA au?

Ndugu..hii sio kweli..ngoja nikupe kisa cha kweli cha mama wa Kisomali aliyekimbilia Canada kutafuta maisha baada ya muda akaamua kurudi nyumabani somalia kupitia Kenya....likizo yake ilipokwisha wakati anarudi Canada akaenda ubalalozi ili Passport yake ipate Visa..ubalozi wa Canada Kenya ukakataa kuwa huyu mama ni imposter hajawahi kuishi Canada na hata ile Passport wakasema siyo yake ameforge....kilichomwokoa huyu mama ni watoto wake aliowaacha Canada wakati anakuja Kenya vipimo vya DNA vya mama vikachukuliwa kupelekwa Canada ili vichukuliwe na vipomo vya watoto kupima DNA kitu na BOX..aibu kwa ubalozi wa Canada ilibidi mama aombwe radhi kwa usumbufu aliupata lakini hapo amesota zaidi ya miezi 2 wamegoma kumruhusu kurudi Canada..kwahiyo ndugu DNA haiongopi labda wataalamu wafanye makosa!!!wakati wa kufanya hiyo test
 

Mentali

Member
Dec 3, 2012
81
0
haya mambo yapo sana ndio mana mi mwenzenu nikimpa mimba demu lazima niikane kwanza,halaf wakija kunibembeleza huwa natoa sharti mtoto tukapime dna nikiona mama mtu anasua sua au ana wasiwasi basi ndio naikataa kabisa lazima kuna walakini hapo.mi nilishashuhudia mdada mmoja uku mtaani kwetu alimwambia tozi mmoja lazima amzalie mtoto japokuwadada alikuwa kaolewa na ana watoto wa 4,basi baada ya kuzaliwa katoto kakakua hadi miaka 3,ndipo minong'ono ya majirani ikaanza mpaka jamaa akapata taarifa ikazuka kasheshe,yani haya mambo ndio mchezo wa madem tangu zamani sana sio leo tu,ndio maana ukaambiwa mtoto siku zote ni wa mama sio wa baba,na ndio mana baba hata ukasirike vipi hata umpe lana mtoto vipi hadhuriki labda kama alikuonea sana mambo yake ya kimaisha yatayumba lakini mama akikukasirikia kidogo tu haufanikiwi mpaka umfurahishe halaf akikulaani ni lazima uwe chizi au ufe,sababu mama ndio mzazi wako dingi unaweza ukabambikiwa tu,kumbe sio baba yako.
 

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,909
1,225
Wengine huwa hatuhitaji hiyo kitu kwa sababu tukifyatua
watoto utafikiri tuliingizwa kwenye fotocopy machine yaani
Kwa mama anachukua rangi tu lakini vingine vyote ni mimi
mwenyewe.
wa..nga ndio waliwao nenda kapime wacha kubweteka
 

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,413
1,195
Tatizo hili lipo zaidi kwa wapenzi wasio kwenye ndoa, na ndicho kilichoelezwa kwenye hiyo taarifa. Wanaume hushtukia dili na kuamua kwenda kucheki DNA.
 

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,195
Hivi kule Maternity Ward, huwa hakuna uwezekano wa watoto kukosewa na kupewa mama mwingine?...najua huwa kuna alama wanafungwa watoto mikononi
Hapo umeongea watu8,coz kuna uhakika ukapima baba ukaonekana c wako mtoto kumbe hata huyo mama nae c wake ukabaki unamlaum kakubambikia mtoto kumbe wote mmebambikiwa
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,365
1,195
... Morally and Ethically inaweza kuonekana Unsound but in a way its a significant way of shuffling genes in a genetic pool!!
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,365
1,195
Hivi kule Maternity Ward, huwa hakuna uwezekano wa watoto kukosewa na kupewa mama mwingine?...najua huwa kuna alama wanafungwa watoto mikononi
...Hili sijambo la kufanyiwa mzaha ... kuna uwezekano mkubwa na kwa sababu mbalimbali ...hata kubadilishiwa mtoto kwa msingi ya jinsia nk.

Jmabo la kufanya. Kama Mama anahakika HAKUTOKA ... na DNA test tayari inamzengua? Testi ifanywa kwa kuhusisha wazazi wote ... inawezekana Mama akaokoka kwa kukuta mtoto sio Baba wala sio Mama!!!
 

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,107
2,000
wa..nga ndio waliwao nenda kapime wacha kubweteka
Mkuu ukiniita mjinga Hunitukani hivyo usiogope kuliandika
neno kama lilivyo, ni kiswahili safi kabisa hakina tusi ndani
yake. Wajinga ndio waliwao au sio?

Hata hivyo unakuta ule mwanya wako, kama una nundu kama ile
ya madega, au una alama fulani fulani ambazo baba yako na babu yako
Nyie endeleeni tu na hizo DNA zenu sisi Maisha yanaendelea
 

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,019
0
Lahaula wallahquattah!
Ila naomba kuwauliza wataalam wa statistics kama kina snochets hivi...
Ikiwa unachukua random sample of the population and test their DNA
Au ukichukua people who have reasons to doubt and who need confirmation
Si lazima ile sample ya watu wenye legitimate doubt watakua na asilimia kubwa na negative test?
I think we should read these result the other way round:
Asilimia 55 ya watu wanao dhani watoto sio wao wanakuta ni wao kweli
Only less than half of them were right and were found not to be parents.
 
Last edited by a moderator:

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,365
1,195
Lahaula wallahquattah!
Ila naomba kuwauliza wataalam wa statistics kama kina snochets hivi...
Ikiwa unachukua random sample of the population and test their DNA
Au ukichukua people who have reasons to doubt and who need confirmation
Si lazima ile sample ya watu wenye legitimate doubt watakua na asilimia kubwa na negative test?
I think we should read these result the other way round:
Asilimia 55 ya watu wanao dhani watoto sio wao wanakuta ni wao kweli
Only less than half of them were right and were found not to be parents.
Mwali Mimi sio bingwa Wa statistics lakini nimeliona hilo na kufanya moyoni kuhoji hiyo 55%? Kama ilivyotolewa kwenye ripoti.

Sababu ya pili ya Kuhoji hiyo 55%? Najua wataalam watatupa comment hapa, ni kuhusi jumla ya hizo sample na namna zilivyopatikana ...Wakitaka tuamini kuwa jamii yote ya kitanzania ...iko kwenye hiyo 55%. Kwa JUMLA ya sample ya miaka mitatu ya (96,113 and 125) na walijipeleka wenyewe woooote tayari wakiwa na SHAKA!!!
 
Last edited by a moderator:

Feyanga

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
222
225
...Hili sijambo la kufanyiwa mzaha ... kuna uwezekano mkubwa na kwa sababu mbalimbali ...hata kubadilishiwa mtoto kwa msingi ya jinsia nk.

Jmabo la kufanya. Kama Mama anahakika HAKUTOKA ... na DNA test tayari inamzengua? Testi ifanywa kwa kuhusisha wazazi wote ... inawezekana Mama akaokoka kwa kukuta mtoto sio Baba wala sio Mama!!!
Ndugu yangu Azimio Jipya

Kwa jinsi ninavyojua mimi, yanapotokea malalamiko kama hayo na kupelekea kupima DNA ya mtoto, wanatakiwa kupimwa wazazi wote wawili pamoja na mtoto.

Kuna wakati kaka yangu alikuwa na kesi kama hii hivyo tukaenda kwenye ofisi ya mkemia mkuu wa serikal ili tuweze kupata kipimo DNA ndo tukapewa hayo maelezo hayo. Tena kupima ni Tshs laki moja na nusu kwa kila mtu.
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,529
2,000
Unaringa mtaani kwa kua mtoto wa kigogo, hata shuleni kwenu wanakujua kua we ni wakishua.

Unadharau wafanyakazi wa hapo kwenu kumbe mmojawapo ambae ni Mlinzi ndio Dingi yako halisi!
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,365
1,195
Ndugu yangu Azimio Jipya

Kwa jinsi ninavyojua mimi, yanapotokea malalamiko kama hayo na kupelekea kupima DNA ya mtoto, wanatakiwa kupimwa wazazi wote wawili pamoja na mtoto.

Kuna wakati kaka yangu alikuwa na kesi kama hii hivyo tukaenda kwenye ofisi ya mkemia mkuu wa serikal ili tuweze kupata kipimo DNA ndo tukapewa hayo maelezo hayo. Tena kupima ni Tshs laki moja na nusu kwa kila mtu.
Beloved Uda'a,

Kwanza nashukuru sana kukufahamu, sijawahi kukutana na wewe humu jukwaani!

Narejea kwenye maada kwa kusema ... nemfurahi kujifunza kuwa zoezi zima la upimwaji wa DNA ni kamilifu na haliachi nafasi yeyote ile ya kujenga ...SHAKA!!

Imenipa moyo and soon I m going to make up my mind ... nakujitosa nimalize kitatizo kidogo kinachonisumbua siku njyingi!!

Lakini kwa case yangu, hata kama ni ghali kiasi gani ... Nitahitaji vipimo vya three deferent independent laboratories to make a significant Conclusion!! ... Pls don't ask me why??
 
Last edited by a moderator:

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,089
1,225
aliyeachika.jpg Mwanamke mmoja mkazi wa Ilala Dar Es Salaam ametuhumu kipimo cha vinasaba cha DNA kumvunjia ndoa yake baada ya kubaini kuwa mtoto wake mmojawapo si wa mme wake. Ukisoma habari kwanza unamuonea huruma. Ila ukizama kwa undani unabaki kuguna. Kwa habari zaidi GONGA hapa.
 
Top Bottom