assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
mkuu mbn povu linakutoka mm ni mzalendo sina chamaguys, why are you so much concerned with chadema issues? Kama babu anaiharibu chadema nyie kinawauma nini, ilihali mnajulikana wazi ni wanaccm? Kuharibika kwa chadema si ndiyo faraja yenu ili nyie mfanikiwe? Sasa mnaumia nini? Au hata pilipili za shamba nyie huwa zinawawasha? Mind your business bwana, ya chadema tuachieni chadema wenyewe. Chama chenu kinaporomoka mchana kutwa, lakini hamuhangaikii kukinusuru, kucha kuchwa mnaiongelea chadema.