mkuu watu wanaakili ngumu kama ya Lowasa.
hivi wewe ndiye lukosi ? Ukijibu nina ujumbe wako.Kwa hiyo kutembea na sumu mfukoni ni sayansi?
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
Sayansi ipi unayoizungumzia?? Ya kutembea na sumu hadi bar ukivizia kuwalisha wenzio? Kumwagia watu tindikali?? Poor u.
mkuu mm ni mzalendo
Bdo mtalia sana viboko badoBavicha ni msiba kwa nchi
Chilisosi,
Upotoshwaji ikiachwa kuendelea kwa muda mrefu hatimaye kuna watu wataamini ni ukweli. Naomba kujibu Mimi mwenyewe hoja zote zilizotolewa na mleta thread.
1) Ni dhahiri lengo la mleta thread ni kupotosha umma, na kujaribu kuchanganisha viongozi. Kuondolewa kwa Shonza, Mwampamba na kundi Lao ni matokeo ya tabia ya mbovu, utovu wa nidhamu, siyo tu ndani ya Chama, Bali hata ndani ya Chombo chao Bavicha. Kamati ya kuwachunguza iliundwa Morogoro Katibu Mkuu hakuwepo. Hivyo ni wazi mleta mad a hajui au kwa makusudi tu ameamua kupotosha. Kwa Katiba ya Chadema namabaraza yake kuchukuliwa mtu hatua ya kinidhamu ni mchakato mrefu na unapitia vikao mbalimbali. Maswala ya nidhamu yanasimamiwa na Katiba ya Chama Toleo la 2006 Ibara za 5.4(1-4); Kukoma kwa uongozi ( Ibara 6.3.4(b na c na e). Mamlaka za Nidhamu zinatajwa Ibara ya 6.3.6 pamoja na Kanuni Mbalimbali za Chama nazo ziko ndani ya Kitabu cha Katiba. Mto mada au hajasoma, au ni mbumbumbu tu mwenye kutumika au mpotoshaji tu. Kama anavyosema mleta mada ni kweli, Dr Slaa anaweza kuamua tu, basi Dr Slaa ni sawa na Mungu. Chadema ni Kati ya vyama vichache vinavyofanya vikao vya kikatiba, siyo tu kwa mujibu wa Katiba na Mara nyingi kwa kutumia mamlaka ya vikao vya dharura. Kauli ya mleta mada ni matusi kwa wanachadema wote na hasa Kamati Kuu na Baraza Kuu, ambazo indigo vyombo vya maamuzi.....
Ukweli unaujua,
Anyway, vipi hamjatoa tamko tu bado kuhusu ishu ya Dj kwenda kwenye pati ambayo mliisusia?
Mkuu,
1. Bavicha waliwafukuza akina shonza kwa remot control kutoka kwako ndio mana hujawahi kujibu hoja za shonza, za mwampamba, ktb wa bavicha mkoa wa mwanza, tanga na wale wa mbeya. Na hutakaa uweze kujibu sana utaishia kutokwa povu.
2.baregu alichagua nchi kwanza chama baadae ndio mana alibaki kwenye tume tofauti na matamko yenu ya kujitoa na kumtaka aachie ngazi.kumbuka ht ktk bajeti yenu mlisimamia kujitoa
3.barua ya zitto ipo ht hapa jf, justfication ya muhuri wa siri ni kuishiwa hoja, jambo la msingi hapa ni content ya barua pamoja na uwezo wako km mtendaji mkuu wa chama kushindwa ku control issues. Kiufupi barua ilivuja kutoka chadema bila kujali minor cases km hiyo unayojaribu kujitetea. Msimamo wa zittoilikuwa ni lwakatare ajiuzulu nafasi zake kwa sababu anakabiliwa na tuhuma nzito ikiwa ni pamoja na kuandaa mipango haramu ya kumlisha sumu mhariri wa mwananchi denis msaki
4. Hujajibu hoja ya msingi ya ww kuwa chanzo cha migogoro ndani ya chadema na hilo ndio tatizo lako kujipofusha kwenye mambo ya msingi yanayokuhusu.
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
Mkuu ile tu kupoteza
mda wako kuniandika katika mada isiyonihusu inaonyesha ni jinsi gani
siasa zangu zimewabana mbavu.
Haya umesikika na matusi yako wasalimie wafuasi wenzio wa kamkono hapo
ufipa mlipopanga.
mkuu mbn povu linakutoka mm ni mzalendo sina chama
CHADEMA hatuna mgawanyiko, toa unafiki wakoDR SLAA NA UTENDAJI KAZI
KATIBU MKUU wa chadema DK WILBROD SLAA ndio chanzo cha migawanyiko chadema moja alichangia sana kuondoka kwa makamanda shonza na mwampamba,pili katika ofisi yake barua za siri zimekua zikivuja mfano ni barua ya zito ambayo tuliisoma hp mtandaoni,tatu kumshinikiza prof baregu ajitoe katika tume ya katiba bila kutoa 7bu za kueleweka na kusababisha mjadala mkubwa ndani na nje ya chama,tano kukurupuka na kusema chadema hawatashiriki ujio wa obama kisha tunamwona mwenyekiti wake akiwa ikulu jambo hili limeleta mkanganyiko na migawanyiko source akiwa dr SLAA.NAFIKIRI IMEFIKA WAKATI CHADEMA WAKATAFUTA MTENDAJI MKUU HUYU AKAWA MSTAAFU KWA SASA KWANI MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI
mkuu kazi ya heshima ni ipi yawezekana hiyo ya kwako ambayo unaamini ni ya heshimaa kumbe siyo ya heshima hawa vijana waache wafanye kazi ambazo nafsi zao zinawatuma mapenzi ya mtu hayaingiliwi na mtu yeyote kila mtu hufanya kitu kulingana na mapenzi yake,huwa naumia sana moyoni nikiwaona wewe na mwenzio mwampamba!
inanishangaza sana inakuwaje vijana wadogo kama nyinyi badala ya kufanya kazi za halali na za heshima mnaishi maisha ya kuungaunga na ujanjaujanja!
its a shame..
Guys, why are you so much concerned with CHADEMA issues? Kama babu anaiharibu chadema nyie kinawauma nini, ilihali mnajulikana wazi ni wanaCCM? Kuharibika kwa CHADEMA si ndiyo faraja yenu ili nyie mfanikiwe? Sasa mnaumia nini? Au hata pilipili za shamba nyie huwa zinawawasha? Mind your business bwana, ya CHADEMA tuachieni CHADEMA wenyewe. Chama chenu kinaporomoka mchana kutwa, lakini hamuhangaikii kukinusuru, kucha kuchwa mnaiongelea CHADEMA.