Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza, bora niende mahakamani nione the foma arasii akiwa anapandishwa kizimbani
 
Hawa walinunuliwa kipindi cha uchafuzi mkuu, mmoja akakimbilia rwanda na huyu akakimbilia canada kufanya kazi kwenye supermarket.........interestingly wote wamerudi baada ya kupigwa njaa, bongolala kuna visa sana.......
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.
Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.
Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.
Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.
Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
TBC!!!😆🤨
 
Hawa walinunuliwa kipindi cha uchafuzi mkuu, mmoja akakimbilia rwanda na huyu akakimbilia canada kufanya kazi kwenye supermarket.........interestingly wote wamerudi baada ya kupigwa njaa, bongolala kuna visa sana.......
Hivi amerudishwa?
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Anasimamishaje NCHI sasa 🤣🤣🤣🤣! Ilikua and not anymore!!!
 
Dr Slaa atabaki kuwa mwanasiasa bora mwenye misimamo isiyoyumba. Alijiondoa CDM baada ya Mbowe kuchukua mihela yawaliokuwa wanamwita fisadi Lowasa na kumuuzia ugombea Urais bila kufuata hata katiba ya chama. Eti kuvunja katiba ya chama na kula matapishi yao kwa mtu waliyemwita fisadi wakabatiza jina et GIA YA ANGANI.
Wengi tuliondoka nae CHADEMA.
Lichama lenyewe lishajifia kifo cha mende. Chaliii!
 
Mi niache kuangalia money heist au kufatilia kesi ya makonda eti nianze kumskiza ex bishop si ntakua mjinga?
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Huyu jamaa akianzisha chama najiunga mwili mzima
 
Hakusimamaisha nchi kipindi kile cha kutenganisha choo na sebure itakuwa leo, atuache watanzania - zilipendwaaa !!
 
Nimeota huyo Slaa ni kati ya team mkakati ya Umoja party kwa ajili ya 2025
 
Baada ya Dr Slaa kuondoka kimebaki chama kinachotumia mbinu na propaganda za;
  1. Ugaidi,
  2. Usaliti kwa kuungana na mabeberu wanyonyaji
  3. Kupinga mazuri yote maradi yanafanywa na serikali ya CCM
  4. Mbinu chafu za uuaji na kujificha
  5. Kiongozi moja kujenga taasisi binafsi ndani ya chama badala ya kujenga chama
  6. Kiongozi huyo kutumia pesa za chama kulipa wapambe wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumpamba! Angalia hapa JF!
  7. Kupinga na hata kuhujumu maendeleo kisa tu yamefanywa na serikali ya CCM
Alafu utegemee chama hiki kipendwe na wananchi! Thubutuu, kitaungwa mkono na UE na Western powers wanaotanguliza interest za nchi zao kwa kutumia mgongo wa vitu kama “haki za binadamu”
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Hivi bado kuna wenye akili timamu bado wanapoteza muda kuangalia tbccm?
 
Baada ya Dr Slaa kuondoka kimebaki chama kinachotumia mbinu na propaganda za;
  1. Ugaidi,
  2. Usaliti kwa kuungana na mabeberu wanyonyaji
  3. Kupinga mazuri yote maradi yanafanywa na serikali ya CCM
  4. Mbinu chafu za uuaji na kujificha
  5. Kiongozi moja kujenga taasisi binafsi ndani ya chama badala ya kujenga chama
  6. Kiongozi huyo kutumia pesa za chama kulipa wapambe wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumpamba! Angalia hapa JF!
  7. Kupinga na hata kuhujumu maendeleo kisa tu yamefanywa na serikali ya CCM
Alafu utegemee chama hiki kipendwe na wananchi! Thubutuu, kitaungwa mkono na UE na Western powers wanaotanguliza interest za nchi zao kwa kutumia mgongo wa vitu kama “haki za binadamu”
Ukitaka kujua ukweli; Waache wananchi wapige kura, waache wananchi ndio wachague.
Mengine ni porojo zenu na staili za kuogopa na kukwepa Katiba mpya/bora.
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Eti TBC
 
Mi nikajua anafanya mahojiano na BBC au Azam sasa TBC wa nauliza nini zaidi ya kusifia serikali
 
Back
Top Bottom