Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,859
2,000
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
That is true.
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,617

Atawasimamisha wanaccm wenzake maana hiyo kituo yenyewe inaangaliwa na wanaccm tena wale team msoga (sukuma gang wamezira)
 
Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
961
1,000
CCM wanamkimbilia Slaa aje aokoe jahazi? Alishapitwa na wakati. Agange Kama wengine.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Dr Slaa atabaki kuwa mwanasiasa bora mwenye misimamo isiyoyumba. Alijiondoa CDM baada ya Mbowe kuchukua mihela yawaliokuwa wanamwita fisadi Lowasa na kumuuzia ugombea Urais bila kufuata hata katiba ya chama. Eti kuvunja katiba ya chama na kula matapishi yao kwa mtu waliyemwita fisadi wakabatiza jina et GIA YA ANGANI.
Wengi tuliondoka nae CHADEMA.
Lichama lenyewe lishajifia kifo cha mende. Chaliii!
Dr Slaa alikuwa CCM akahamia CHADEMA kwasababu alinyimwa tiketi ya ubunge CCM. CHADEMA wakamkubalia. So alivyoona CHADEMA hawana muda naye Tena akapata sababu ya kurudi CCM kwenye chama chake. Huyo alikuwepo CHADEMA kimaslahi.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Baada ya Dr Slaa kuondoka kimebaki chama kinachotumia mbinu na propaganda za;
  1. Ugaidi,
  2. Usaliti kwa kuungana na mabeberu wanyonyaji
  3. Kupinga mazuri yote maradi yanafanywa na serikali ya CCM
  4. Mbinu chafu za uuaji na kujificha
  5. Kiongozi moja kujenga taasisi binafsi ndani ya chama badala ya kujenga chama
  6. Kiongozi huyo kutumia pesa za chama kulipa wapambe wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumpamba! Angalia hapa JF!
  7. Kupinga na hata kuhujumu maendeleo kisa tu yamefanywa na serikali ya CCM
Alafu utegemee chama hiki kipendwe na wananchi! Thubutuu, kitaungwa mkono na UE na Western powers wanaotanguliza interest za nchi zao kwa kutumia mgongo wa vitu kama “haki za binadamu”
Baada ya Doctor Slaa kuondoka kwa Mara ya Kwanza upinzani walipata asilia 40 ya kura za uraisi na matokeo Zanzibar kufutwa na uchaguzi kurudiwa. Nguvu ya upinzani ilikuwa kubwa mpaka kupelekea mikutano ya siasa kupigwa marufuku.
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Baada ya kupuzwa kwenye ile press conference yake naona alikimbia moja kwa moja. Ndipo alipojua kumbe chama ndio kilikuwa kina mbrand. Dr Slaa alikuwa CHADEMA kimaslahi baada ya kukosa tiketi ya ubunge CCM pamoja ya kwamba alishinda mchujo. Hivyo angepita CCM leo ingekuwa tofauti. Kuna wapinzani hawajawahi kuwa CCM hai ndio wakuzungumziwa sio Dr Slaa aliyechuja.
 
mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
262
500
Ila ni kweli aisee tangia Dr aondoke Chadema hawajawai piga hata dana dana moja hata kutoa pasi moja hakuna. Nakama wakiendelea kusema Dr alinunuliwa basi wao wote na Mbowe waseme Lowasa aliwafanya nini, Sisi watafiti wa mambo tumeanza kuelewa kuwa kumbe siyo Mbowe aliyekuwa anakiinua chama kumbe alikuwa Dr na ndiyo maana itazidi kungundulika kuwa Mbowe akili zake zipo chini sana katika mambo mengi isipokuwa pesa akili yake ipojuu sana. Leo kumbe alirekodiwa na simu za Tigo ushahidi unambana
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,244
2,000
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Atasimamishaje nchi ,kwa mahojiano
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Yaani ukitoa dk john pombe joseph Magufuli basi hakuna mwamba mwingine anayependwa zaidi ya dk slaa nchi hii!
Nani anampenda Magufuri. Rais aliyependwa ni nyerere na kikwete aliyevunja rekodi ya kura mwaka 2005. Sio Magufuri aliyepata asilimia 55 ya kura . Ndio maana alipoingia madarakani alikuwa ni mtu wa jazba na hasira maana alijuw a hapendwi.

Angekuwa anapendwa asingepiga marufuku mikutano ya siasa na kulazimisha kwa nguvu ashinde uchaguzi mwaka Jana mbele ya Lissu. Huyo Bora ameondoka alikuwa mtu wa ajabu ambaye itachukua miaka mingi kuondoa roho mbaya aliyoipandikiza.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,336

Kikwete yupi unaongelea?aliyeporomoka awamu ya pili ya uchaguzi kuliko rais yeyote aliyetawala Tanzania ama mwingine?
Siyo Yule alitufanya wanachama tubebe jezi za CCM kwenye mifuko kukwepa zomeazomea?
 
mambio

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
1,518
2,000
Dr Slaa alikuwa CCM akahamia CHADEMA kwasababu alinyimwa tiketi ya ubunge CCM. CHADEMA wakamkubalia. So alivyoona CHADEMA hawana muda naye Tena akapata sababu ya kurudi CCM kwenye chama chake. Huyo alikuwepo CHADEMA kimaslahi.
Unabisha kuwa Mbowe hakumuuzia chama Lowasa?
Unabisha kuwa katiba ya CHADEMA haikuvunjwa kwenye mchakato wakumkabidhi Lowasa chama?
Unabisha kuwa CHADEMA walikula matapishi yao kwa kumteua waliyemwita fisadi Lowasa kuwa mgombea?
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Ila ni kweli aisee tangia Dr aondoke Chadema hawajawai piga hata dana dana moja hata kutoa pasi moja hakuna. Nakama wakiendelea kusema Dr alinunuliwa basi wao wote na Mbowe waseme Lowasa aliwafanya nini, Sisi watafiti wa mambo tumeanza kuelewa kuwa kumbe siyo Mbowe aliyekuwa anakiinua chama kumbe alikuwa Dr na ndiyo maana itazidi kungundulika kuwa Mbowe akili zake zipo chini sana katika mambo mengi isipokuwa pesa akili yake ipojuu sana. Leo kumbe alirekodiwa na simu za Tigo ushahidi unambana
Mnamsifu Dr Slaa kinafiki. Kwanza Dr Slaa alihamia CHADEMA akitokea CCM baada ya kunyimwa tiketi ya ubunge ndio maana Nape Nauye akiwa katibu mwenezi alisema Dr Slaa bado analipia kadi ya CCM akiwa CHADEMA.

Mbowe ndio ameibrand CHADEMA mpaka hapo ilipofika kuanzia kampeni za mwaka 2005 dhidi ya kikwete kwa kutumia chopa na kuvaa magwanda ya khaki na msemo wa people's power. Baada ya Dr Slaa kuondoka chama kilipata wabunge wengi kuliko kipindi chochote kile. Mpaka serikali kupiga marufuku ya mikutano kwa miaka mitano. Kama CHADEMA ingekuwa haina madhara basi mpaka Leo mikutano isingezuiliwa. Dr Slaa alikataliwa Hadi kwao Karatu watu wakasimama na CHADEMA.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Mimi naongelea kikwete sio CCM, CCM Nani anaipenda.
Mbona huongelei Magufuri aliyepata asilimia hamsini raundi ya Kwanza kura chache kuliko kuwahi kutokea pamoja na kuiba. Na kulazimisha ushindi 2020. Mimi kwangu hata 2015 Magufuri hakushinda.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
483
1,000
Hakuna anayeipenda CCM, hivyo watu walimpenda kikwete sio CCM. Halafu unasema kikwete alishuka umaarufu?. Kikwete aliruhusu maoni, maandamano na mikutano na bunge live kwa hivyo maovu yaliwekwa hadharani na vyama vilipata wasaa wakujijenga ndio maana kura zilipungua mpaka asilimia sittini.

Magufuri alipiga Pini bunge live, mikutano ya siasa, hata mikutano ya ndani kwa miaka mitano na bado aliinfluence Tume. Hivyo Kama angeruhusu vyama viwe huru, maoni yatolewe , bunge liwe live na mauchafu yote yawekwe wazi, hata asimia arobaini asingefikisha.
Kikwete yupi unaongelea?aliyeporomoka awamu ya pili ya uchaguzi kuliko rais yeyote aliyetawala Tanzania ama mwingine
Siyo Yule alitufanya wanachama tubebe jezi za CCM kwenye mifuko kukwepa zomeazomea?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom