MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,486
- 20,438
Hatuamin mtu kusimamia anachokiaminj! Dkt Slaa hakuwai kununuliwa ila alisimamia kile alichokiamini.Alinunuliwa na mwendazake
He is irrelevant kwa sasa ameahatumika kama toilet paper asubiri kuwa flushed away.Tarehe 3/12/2021 siku ya ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.
Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.
Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.
Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.
Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Kama mwamba alivyokubaliana na fisadi papa kama walivyomuita na kupewa bendera kuwakilisha chama.atueleza tu kwenye kitabu namna alivyokubaliana na yule mshenga halafu akabadili upepo..
Nani alilipia ile press ya pale movenpik kama sio Hyatt...
aliwaza nini alipotuambia kuna mradi wa siri wa bomba la gas kwenda Dubai...
Atuelezee vizuri ile story ya Riz 1 na China...
yote kwa yote aligoma kula matapishi kama wenzie lakini lakuchekesha zaidi eti akarudi CCM....hana credibility yakuendelea kuaminika...
una uhakika mkuu?He is irrelevant kwa sasa ameahatumika kama toilet paper asubiri kuwa flushed away.
Kwanini asianzishe chama chake sasa sababu ana mvuto? poorTarehe 3/12/2021 siku ya ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.
Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.
Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.
Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.
Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Ndiyo utamu wa CCM ulipoHe is irrelevant kwa sasa ameahatumika kama toilet paper asubiri kuwa flushed away.
Kwahiyo unamaanisha familia ya Ben saa nane wanampenda mwenda zakeYaani ukitoa dk john pombe joseph Magufuli basi hakuna mwamba mwingine anayependwa zaidi ya dk slaa nchi hii!
Pretty sure, alikuwa relevant sababu siasa yake ni Ile ya kushambulia na ndio ilimpa umaarufu kwa sasa ameingia kwenye group la aliowashbulia kwamba ni wezi wa Mali ya umma then what more unategemea ataongea kitu kinachoeleweka?una uhakika mkuu?