Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,466
20,212
Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.

Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.

Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.

Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
 
Ujinga wa kiwango cha lami.
FB_IMG_1638382172029.jpg
 
atueleza tu kwenye kitabu namna alivyokubaliana na yule mshenga halafu akabadili upepo..
Nani alilipia ile press ya pale movenpik kama sio Hyatt...
aliwaza nini alipotuambia kuna mradi wa siri wa bomba la gas kwenda Dubai...
Atuelezee vizuri ile story ya Riz 1 na China...

yote kwa yote aligoma kula matapishi kama wenzie lakini lakuchekesha zaidi eti akarudi CCM....hana credibility yakuendelea kuaminika...
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.

He is irrelevant kwa sasa ameahatumika kama toilet paper asubiri kuwa flushed away.
 
atueleza tu kwenye kitabu namna alivyokubaliana na yule mshenga halafu akabadili upepo..
Nani alilipia ile press ya pale movenpik kama sio Hyatt...
aliwaza nini alipotuambia kuna mradi wa siri wa bomba la gas kwenda Dubai...
Atuelezee vizuri ile story ya Riz 1 na China...

yote kwa yote aligoma kula matapishi kama wenzie lakini lakuchekesha zaidi eti akarudi CCM....hana credibility yakuendelea kuaminika...
Kama mwamba alivyokubaliana na fisadi papa kama walivyomuita na kupewa bendera kuwakilisha chama.
 
Tarehe 3/12/2021 siku ya ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana.
Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake.
Itakumbukwa vizuri kuwa toka Dk Slaa aondoke Chadema, hamna kitu chochote kilichowahi kufanyika Chadema kikafanikiwa, pamoja na mambo mengine toka Slaa aondoke Chadema chama kimepoteza wabunge wote wa kuchaguliwa isipokuwa mbunge mmoja tu, hamna hata maandamano hata moja lililowahi kufanikwa.
Majirani zangu hapa uswahili leo hii walikuwa juu ya mabati wakijaribu kurekebisha madishi yao na antena hili kuhakikisha wanapata matangazo kwa uhakika siku ya ijumaa.
Kweli jukwaa la siasa lilimmiss sana Dk.
Kwanini asianzishe chama chake sasa sababu ana mvuto? poor
 
una uhakika mkuu?
Pretty sure, alikuwa relevant sababu siasa yake ni Ile ya kushambulia na ndio ilimpa umaarufu kwa sasa ameingia kwenye group la aliowashbulia kwamba ni wezi wa Mali ya umma then what more unategemea ataongea kitu kinachoeleweka?

Akianza kushambulia upinzani tutamshangaa sababu ni upinzani upi uliopo nchini kwetu toka enzi ya Magufuli? Upinzani wanazuiwa kukutana hata mikutano ya ndani kujadili mambo yao Ila CCM aliyoko wanazurura kila siku kwenye mikutano Tena hadharani .

Huyu ameshaona aliyemtumikia ameondoka / amekufa anaona hatma take inabidi atafute relevance kwa maana anatafuta pa kuchomokea au pa kustaafu vizuri.

From the most vibrant presidential candidate to the most noisy diplomat of this country.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom