King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,268
- 1,860
Samia labda azingue yeye mwenyewe tu, kiti alichokalia kina mamlaka makubwa yaani ni alpha na omega, sasa ashindwe yeye tu.aliyemuingiza mkenge lowassa
Samia labda azingue yeye mwenyewe tu, kiti alichokalia kina mamlaka makubwa yaani ni alpha na omega, sasa ashindwe yeye tu.aliyemuingiza mkenge lowassa
Asante mkuu.nlikosa neno la kuhojiNyumbani kwenu hakuna wakubwa?
Umri wa Mbowe na Slaa ni sawa?
Unastahili kubakwa.kwa hiyo kuna limit yabumri wa kupigania mali ya ummaHaka kazee hakajionei huruma na hiyo afya yake .serikali ni jitu kubwa sana
Kayumba tunaonewa sana*At no time predictive you will find yourself helpless in the wilderness.... just wait as the days of lamentation roll by
Umemsahau na Mwinyi Sr. wale wengine hujawataja kwakuwa wote wamependwa zaidiHuyu mama kabla ya kuondoka tuongee na akina Mpina wapeleke hoja bungeni ya kutoa sheria ya kiongozi kutoshitakiwa. Ili tuanze na huyu Mmakunduchi kisha tumalizane na JK.
Hapana.Wanamhujumu ili 2025 wampige chini
Huyu ni Delila wa kwenye Bibilia mkuu.Samia hakupigiwa hata kura
Hana historia yeyote TANGANYIKA hata Zanzibar sidhani km ametumikia watu
Hana ushawishi wowote,
hutujui kwa kina uadilifu wake
Wakati tukiwa tupo mwaka wa pili kuupima uadilifu wake
Tayari ameonyesha kuwa yeye sio mtu mzuri
Kwasababu amefanya jambo linatojawa kama uhaini kwa nchi
Ukiangalia kwa kina yeye hana hasara na TANGANYIKA maadamu atawasaidia waraabu kutimiza ajenda yao fiche
Mbona Baba yako naye kakonda hatusemi?Siku NNE kakonda hivyo, kweli mahabusu si mchezo
Mmebadili hia? Sio Uhaini tena? Hahaaa kwa sasa mmehamia kwenye personer attack?Kwisha huyo hata mkitengenezea drama.
MkuuWewe utakuwa mchawi unampa mbowe tafu gani Pimbi wewe?
Sawa mwanaharakati.Mwanaharakati na Mtetezi wa Mali za Taifa , ambaye alikamatwa na kubambikwa kesi ya Uhaini , kutokana na msimamo wake wa kupinga Mkataba wa milele wa Bandari na Waarabu wa DP WORLD , Dkt Wilbrod Slaa, ameachiwa kwa dhamana na kurejea nyumbani kwake na kupokelewa na Baba Askofu Mwamakula na James Mbatia.
Dkt Slaa akihutubia Majirani zake na baadhi ya viongozi walioambatana naye amesisitiza kwamba kukamatwa kwake hakuwezi kumrudisha nyuma , ataendelea kupigania mali za Taifa hadi tone la mwisho , amesema ni heri kuhukumiwa duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni.
Alifanikiwa baada ya kutusaliti na kupata teuzi ya ubalozi.Mimi sio mwanasiasa Sasa huyu Hadi anazeeka hakuna Cha maana kafanikiwa kwenye siasa
Si vema kumcheka aliyepitishwa korokoroni, lakini kwa sababu na yeye alimdhihaki Mbowe nafikiri " what goes around comes around"kudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini
Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
Mbowe alikuwa kaolewa na nyampala chakula cha watu zile huwa zinarutubishakudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini
Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
Dkt Slaa credibility yake haina mashaka ila huyo mbowe wenu ni msaliti yaani kama aliweza kupokea bil 5 akauza ugombea je akipewa nchi si atauza kila kitu. Kwa ufupi kila anayemuunga mkono mbowe hana akili au ni pungaMimi sio mwanasiasa Sasa huyu Hadi anazeeka hakuna Cha maana kafanikiwa kwenye siasa
Huwezi linganisha issue ya mbowe kwa sababu ilikuwa na ushahidi na mbowe kwa ujinga wake alikuwa setupSi vema kumcheka aliyepitishwa korokoroni, lakini kwa sababu na yeye alimdhihaki Mbowe nafikiri " what goes around comes around"
WE JINGA ULIKIMBIA KIPINDI CHA MAGU UMERUDI TENA.umesafishwa uhujtmu uchumi na mamaSema na tukana muwezavyo utavumiliwa, Ola ukichochea ghasia wanakuchochea kabla watu hawajachocheka