Dkt Slaa: Kukamatwa hakutonirudisha Nyuma, ni heri kuhukumiwa Duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,788
218,416
Mwanaharakati na Mtetezi wa Mali za Taifa , ambaye alikamatwa na kubambikwa kesi ya Uhaini , kutokana na msimamo wake wa kupinga Mkataba wa milele wa Bandari na Waarabu wa DP WORLD , Dkt Wilbrod Slaa, ameachiwa kwa dhamana na kurejea nyumbani kwake na kupokelewa na Baba Askofu Mwamakula na James Mbatia.

Screenshot_2023-08-18-16-32-55-1.jpg

Dkt Slaa akihutubia Majirani zake na baadhi ya viongozi walioambatana naye amesisitiza kwamba kukamatwa kwake hakuwezi kumrudisha nyuma , ataendelea kupigania mali za Taifa hadi tone la mwisho , amesema ni heri kuhukumiwa duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni.

Screenshot_2023-08-18-16-32-37-1.jpg
 
Samia hakupigiwa hata kura

Hana historia yeyote TANGANYIKA hata Zanzibar sidhani km ametumikia watu

Hana ushawishi wowote,

hutujui kwa kina uadilifu wake

Wakati tukiwa tupo mwaka wa pili kuupima uadilifu wake

Tayari ameonyesha kuwa yeye sio mtu mzuri
Kwasababu amefanya jambo linatojawa kama uhaini kwa nchi

Ukiangalia kwa kina yeye hana hasara na TANGANYIKA maadamu atawasaidia waraabu kutimiza ajenda yao fiche
 
kudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini

Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
 
Mzee wa MIHOGO ha ha ha
Wewe utakuwa mchawi unampa mbowe tafu gani Pimbi wewe?
 
kudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini

Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
Nyumbani kwenu hakuna wakubwa?

Umri wa Mbowe na Slaa ni sawa?
 
Huyu mama kabla ya kuondoka tuongee na akina Mpina wapeleke hoja bungeni ya kutoa sheria ya kiongozi kutoshitakiwa. Ili tuanze na huyu Mmakunduchi kisha tumalizane na JK.
Kazi ya Luhaga kwa Chama chake na Serikali yake na Rais wake utaijua 2025?

kuna Mtu aliisakama Serikali kama Hayati Mzee Samwel Sitta na Dr Mwakyembe ?

CCM huwa wanacheza 'Gombania goli' kuwazuga watoto watoto, sijui hata kama gombania goli uliwahi kucheza
 
Samia hakupigiwa hata kura

Hana historia yeyote TANGANYIKA hata Zanzibar sidhani km ametumikia watu

Hana ushawishi wowote,

hutujui kwa kina uadilifu wake

Wakati tukiwa tupo mwaka wa pili kuupima uadilifu wake

Tayari ameonyesha kuwa yeye sio mtu mzuri
Kwasababu amefanya jambo linatojawa kama uhaini kwa nchi

Ukiangalia kwa kina yeye hana hasara na TANGANYIKA maadamu atawasaidia waraabu kutimiza ajenda yao fiche
Sema na tukana muwezavyo utavumiliwa, Ola ukichochea ghasia wanakuchochea kabla watu hawajachocheka
 
Back
Top Bottom