Dkt Slaa: Kukamatwa hakutonirudisha Nyuma, ni heri kuhukumiwa Duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni

Licha ya mkataba huu, mama bado ni Rais bora sana, anajiheshimu anapenda haki, uenda hili akalimaliza kwa busara zaidi, namwamini ni mvumilivu pia!
 
Huyu mama kabla ya kuondoka tuongee na akina Mpina wapeleke hoja bungeni ya kutoa sheria ya kiongozi kutoshitakiwa. Ili tuanze na huyu Mmakunduchi kisha tumalizane na JK.
Umemsahau na Mwinyi Sr. wale wengine hujawataja kwakuwa wote wamependwa zaidi
 
Wanamhujumu ili 2025 wampige chini
Hapana.

Hakuna mwenye ujasiri ndani ya CCM, na hata serikalini wa kumhujumu Mwenyekiti wa Chama na Rais wa nchi.
Cheo hicho kwa watu hao wote ni kama mungu. Nani yuko tayari kumhujumu mungu!

Ni kama unasema kuwa hao watu wanajihujumu wao wenyewe, jambo ambalo litakuwa ni la kushangaza sana.

Chukulia yale yaliyofanyika Bungeni wakati wa kuridhia mkataba. Hapo kweli utasema Bunge zima lilishiriki kumhujumu Samia, wakati ikionekana wazi walikuwa wakitetea maslahi yao wote, hata wale ambao hawakusema chochote!

Huko kwenye Kamati Kuu ya Chama, nani aliye na ubavu wa kumhujumu Mwenyekiti, atakuwa hajipendi?

Sasa hii kazi ya "kuhujumu" tumtwishe nani, Ndugai?
Anao uwezo wa kufanya hivyo? Hana.
 
Samia hakupigiwa hata kura

Hana historia yeyote TANGANYIKA hata Zanzibar sidhani km ametumikia watu

Hana ushawishi wowote,

hutujui kwa kina uadilifu wake

Wakati tukiwa tupo mwaka wa pili kuupima uadilifu wake

Tayari ameonyesha kuwa yeye sio mtu mzuri
Kwasababu amefanya jambo linatojawa kama uhaini kwa nchi

Ukiangalia kwa kina yeye hana hasara na TANGANYIKA maadamu atawasaidia waraabu kutimiza ajenda yao fiche
Huyu ni Delila wa kwenye Bibilia mkuu.
Aliwekwa pale ili amshughulikie JPM, na alifanikiwa.
Sasa JPM huko aliko anamsumbua sana usiku huyu mama , sasa anataka kuuza kila kitu mwisho wa siku katiba inamlinda.
Kipengele cha kuwalinda viongozi kwenye katiba kiondolewe haraka.
 
Hivi huu mkataba kwa mfano angekua Magu ndio kaukubali huyu Dkt Njaa akathubutu kufungua domo kweli? au ndio uhuru umezidi siku hizi?
 
Mwanaharakati na Mtetezi wa Mali za Taifa , ambaye alikamatwa na kubambikwa kesi ya Uhaini , kutokana na msimamo wake wa kupinga Mkataba wa milele wa Bandari na Waarabu wa DP WORLD , Dkt Wilbrod Slaa, ameachiwa kwa dhamana na kurejea nyumbani kwake na kupokelewa na Baba Askofu Mwamakula na James Mbatia.


Dkt Slaa akihutubia Majirani zake na baadhi ya viongozi walioambatana naye amesisitiza kwamba kukamatwa kwake hakuwezi kumrudisha nyuma , ataendelea kupigania mali za Taifa hadi tone la mwisho , amesema ni heri kuhukumiwa duniani kuliko kuhukumiwa Mbinguni.

Sawa mwanaharakati.

Wanaharakati wetu hawa wakipata teuzi wanabadirika na kuwa waramba miguu.

SINA SHAKA AKIPATA TEUZI ATATUSALITI TENA.

Any way,
Life is goes on.
 
kudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini

Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
Si vema kumcheka aliyepitishwa korokoroni, lakini kwa sababu na yeye alimdhihaki Mbowe nafikiri " what goes around comes around"
 
kudadeki JELA siku mbili tu kakongoloka hatari
BINGWA mbowe jela mwaka naa na ALikuwa strong na afya njema
Unajua ni kwann mbowe alikuwa na AFYA njema
Vile watanzania tulivyokuwa tunampa tafu hii ilimfanya ajione kama yupo URAIANI tu
Kubwa kuliko akifika MAHAKAMANI akiona kibatara anavyowanynyasa kina KINGAI ilikuwa inazidi kumpa HOPE na matumaini

Mzee wa MIHOGO ha ha ha😆😆😆
Mbowe alikuwa kaolewa na nyampala chakula cha watu zile huwa zinarutubisha
 
Mimi sio mwanasiasa Sasa huyu Hadi anazeeka hakuna Cha maana kafanikiwa kwenye siasa
Dkt Slaa credibility yake haina mashaka ila huyo mbowe wenu ni msaliti yaani kama aliweza kupokea bil 5 akauza ugombea je akipewa nchi si atauza kila kitu. Kwa ufupi kila anayemuunga mkono mbowe hana akili au ni punga
 
Si vema kumcheka aliyepitishwa korokoroni, lakini kwa sababu na yeye alimdhihaki Mbowe nafikiri " what goes around comes around"
Huwezi linganisha issue ya mbowe kwa sababu ilikuwa na ushahidi na mbowe kwa ujinga wake alikuwa setup
 
Back
Top Bottom