kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha
Huyu akili zake ni kugombea uraisi tu anafikiri Raisi aliopo na dhaifu atamshinda kwa msaada wa kanisa ya RC,.......Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi
Ndio ujue watu wanabwabwaja tu.Mashinji amekaribishwa lini?
Duh!Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Fake News!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kua fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya saba saba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dr Slaa kurudi rasmi kunduni na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

kuna lines umeongea ukweli, Slaa na Lissu wamekaa kiuwana harakati zaid , Mbowe ana kazi ya kufanyaOffcourse deep state wanamtaka Slaa ataweza mvuruga Samia Hadi suala la katiba mpya litakwenda na maji...
Slaa Hana adabu na ana chuki za kidini ..hii itamfanya Samia awachukie Chadema kabisa ...na asijali Sana maridhiano...na atalazimika kuwa accommodate..team JPM na team Kikwete more kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati...
In the end watakaopata faida ni ccm hardliners ambao Samia atalazimika kuwasikiliza zaidi ili kuwadhibiti Slaa na Tundu Lissu....
Huku mtu wa Pengo... Philip Mpango anaji brand kama "calm na collected" na "president in waiting"...
Let's wait and see
Kama walimpokea Lowassa watashindwa kwa Slaa Kamanda?MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!