Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi

Mkuu! Kwa waandishi wa habari jina kubwa linatengeneza habari. Hajakosea. Imagine ni watu wangapi wameshasoma hiyo kupitia Daily News na kwa hivyo hilo gazeti limeshaingiza hela kiasi gan? Nikwambie tu kwamba anayeamua habari kuenda hewani sio mwandishi bali ni mhariri. Kwa maana hiyo Daily News sio wapumbavu na Njiru hastahili lawama.
cc
Pascal Mayalla
Mwanahabari Huru
 
Pascal Mayalla
Mwanahabari Huru
 
Huyu mzee ana illusions tu ha ha ha ha ha au kakutana na wa nigeria mtandaoni ndio akaamini alafu kwanini asiende kufundisha kwenye vyuo hivi nya afya kama kweli ana PhD tena ya kirusi
 
Wakati ule anajitangaza kuwa yeye ni Bilionea,je ni yeye pekee ndio alikuwa Bilionea Tanzania nzima?
 
Mkuu msaidie Dr Shika 500,000 ya kibongo ili aweze kukomboa US Dollars 18,000 zilizopo Uswizi.
 
Huwa nasema waandishi wa habari wa Tanzania wana shida baadhi yao.

Day one Shika anahojiwa na kudai ana hiyo kampuni ya kemikali na amefundisha chuo niligoogle na hakukuwa na kitu kama hicho.

Anahitaji Dola 200 ili alipwe dola 18M na haulizwi mbona asiwaambie wakate humo humo? Hii si ni zile scams za kuanzia 2005?

Unaitwa kazi na UN kisha unatakiwa kulipia. Si ni scam nyingine hii?

Yet habari nzima haionyeshi juu ya hiyo ishu kua hii ni scam as fat as we know na wamuulize Shika kama anajua kua hizo ni scams na hiyo kampuni yake haiexist.

Hii kumejaa wajinga, makomedian na mazuzu.
 
@="Frank Wanjiru,

Mbona picha na maelezo vinakinzana? au hao watu wamekuja kumwondoa hapo kituo cha mabasimnazi mmoja (One coconut)
 
Naunga mkono hoja. What the daily news did is not right, watu wrote kwenye akili timamu wanaijua hali ya Dr. Shika, he needs privacy and not to be ridiculed!.
P
 
Kwahiyo mwandishi wa habari hajali privacy ya mtu! Na hata privacy ya maiti!
Asante kwa kuniaminisha hivyo.
 
Kutengeneza news kupitia kwa mu kwenye hali kama ya Dr. Shika, is not fair, it's out of context and unethical, unless kama lengo ni kumhighlight ili asaidiwe.
P
 
Kutengeneza news kupitia kwa mu kwenye hali kama ya Dr. Shika, is not fair, it's out of context and unethical, unless kama lengo ni kumhighlight ili asaidiwe.
P
Hii habari inajieleza yenyewe. Nadhani sihitaji kutoa maelezo. Bado naamini Daily News sio wapumbavu.
 
Huyu mzee ana illusions tu ha ha ha ha ha au kakutana na wa nigeria mtandaoni ndio akaamini alafu kwanini asiende kufundisha kwenye vyuo hivi nya afya kama kweli ana PhD tena ya kirusi
Ni DR kweli... ila kufundisha usiwe na msongo wa mawazo
 
Kwahiyo mwandishi wa habari hajali privacy ya mtu! Na hata privacy ya maiti!
Asante kwa kuniaminisha hivyo.
Waandishi wanapaswa kutilia maanani kitu wanaita "ethical consideration." Na hili Daily News, kama waandishi wa habari, wanalijua.
 
Kwa uzoefu wangu Ni kwamba,wasomi wengi nchi hii madishi yakianza kucheza huwa lazima waanze habari za kujinasibisha na UN.

Atakuambia alikuwa coordinator wa UN somewhere na vitu kama hivyo.

Ni suala la muda,mtaanza kumuona kwenye majalala.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…