jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,245
Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!