Dkt. Mwigulu, ofisi za Hazina ni janga lingine la Taifa

Black Legend

Senior Member
Jul 28, 2015
103
130
Kumekuwa na ukilitimba wa hali ya juu ya ufanyaji wa malipo toka ofisi za hadhina mikoa mpaka Taifa.

Watumishi au taasisi nyingi zimekuwa zikipata ugumu wa kupata malipo kwa wakati na kutimiza majukumu yao ya Kila siku. Unaweza request fedha zilizotumwa na makao makuu wizarani lakini treasure or sub-treasure ofisi zimekuwa kikwazo kikubwa cha kulipa fedha kwa wakati na hivyo kusababisha either watumishi kucheleweshewa HAKI zao na zaidi kuchelewesha utendaji wa kazi na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Kama Waziri mwenye dhamana wa wizara ya fedha, ndugu Mwigulu Lameck Nchemba tunaomba ujaribu kuweka jicho la kipekee katika kitengo hiki nyeti serikalini.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom