Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

Na usishangaye huyo dada akaja kurithi Jimbo kweli. Maana majimbo yashageuka kuwa falme za watu. Wadanganyika amkeni.

Imetokea sehemu nyingi
-Samweli Sitta kamruthisha mkewe
-Profesa nani nani huko Iringa aliwahi kuwa waziri wa fedha alipofariki mtoto kapewa Jimbo

Na wengine wengi
Kikwete nae akamrisisha jimbo mwanae!!
 
Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.

View attachment 2112131
Hahaha ccm mbere kwa mbere
 
Ngoja amsikie mwenye hicho kiti anachokinyemelea. Any way akaandike tena mawe yamchague tena
 
Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.

View attachment 2112131
Mhuni fulani bado ana ndoto za URais
 
Back
Top Bottom