Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 987
Anadai haki yake kwa njia anayoiamini inafaaAcheni uzushi wa kipuuzi, kwa nini aje kuleta uzushi hapa Jf. Kwa nini asifungue kesi kama ni kweli?
Mkuu usijitowe akili kiasi hicho we ndio MwiguluMmeanza kimzushia mwiguru upuuzi wenu maana jamaa amepiga kampein za kishindo .tulieni sindano iwaingie
Lazima.ukweli usemweMmeanza kimzushia mwiguru upuuzi wenu maana jamaa amepiga kampein za kishindo .tulieni sindano iwaingie
We kwanini upo apa 'JF au ni kwa mama yakoAcheni uzushi wa kipuuzi, kwa nini aje kuleta uzushi hapa Jf. Kwa nini asifungue kesi kama ni kweli?
Vichwa vya Magazeti baada ya October 28
"CHADEMA YALIWA TUNDA KIMASIHARA"
Wana kamsemo kao siku hizi, "duniani sheria, haki mbinguni" .
Maneno ya Viongozi wa Jamhuri ya NdiziWana kamsemo kao siku hizi, "duniani sheria, haki mbinguni" .
Hayo tutayajafili baada ya Uchaguzi kuisha ila Mwigulu ndo Mbunge paleSavimbi masikini! Amelegea mpk anataka kuuwa mpiga kura wake. Hivi Savimbi huwezi kujiajiri? Si ushazichota sana hela za serikali??