Dkt. Mwigulu Mgeni rasmi Harambe ya Maendeleo ya KKKT

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
581
Reaction score
403
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

IMG-20261005-WA0115.jpg
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

IMG-20261005-WA0121.jpg
IMG-20261005-WA0129.jpg
IMG-20261005-WA0124.jpg
IMG-20261005-WA0119.jpg
IMG-20261005-WA0127.jpg
IMG-20261005-WA0123.jpg
IMG-20261005-WA0128.jpg
 
CCM Raha sana

Pale kuna Nchimbi !!

Pale kuna Nchemba !!

Watanzania tuwe tayali
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Viongozi wa Makanisa wanajidhalilisha sana kuyachafua makanisa yao kwa kujishikamanisha na hawa wanasiasa ambao mikono yao imejaa damu za Watanganyika. Makanisa yanatafuta laana.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

hapo askofu Kalikawe Bagonza kafura mbaya sana,
huenda sasa hivi kujifungia anatunga theory zake zile za gubu 🐒
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

KKKT is a CCM Branch
 
Jamaa ameamua kukunja moyo ,, kama ni mbaya acha iwe mbaya 😎😁
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.

Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.

Kkkt ni kanisa linaloenda kujifia kutokana na nepotism na uchawa
 
Naona KKT inataka kujiunga na BAKWATA, ili nao wawe jumuia ya Chama cha Mauaji.
 
Back
Top Bottom