Wewe jamaa una ugomvi na leo mutumboz. Mbavu zangu jamani, hahaha.Yeye alienda Marekani kujifunza kuvaa pensi na ku-browse internet wakati ndugu zake wanasoma
Wewe jamaa una ugomvi na leo mutumboz. Mbavu zangu jamani, hahaha.Yeye alienda Marekani kujifunza kuvaa pensi na ku-browse internet wakati ndugu zake wanasoma
Tena mlango uliofunguka ni mkubwa zaidi
HONGERA DK. MWELE
Kama kashika mpini mwambie akamtumbue Dr Mwele huko alikoMkuu, taarifa za ugonjwa wa zika hutolewa na UNICEF tu na ni baada ya maabara zao kufanya utafiti. Nchi gan kati ya zenye zika tukio lilitangazwa na mtu ambaye hana hata ngazi ya uwaziri? Tukubali kosa alifanya. Labda alistahili kuonywa badala ya kutumbuliwa. Chuki dhidi ya magufuli iendelee ila ndo kashka kwenye mpini. Ujanja hatuna hadi muda utakapofika.
Punguza mihemko! Heshima zote zipi? Maelekezo atampa nani? Maji siku zote yanachemka hayasahau baridi!
Ummy mbona yuko Moi anaharisha balaaUmmy Mwl tumbo lake litakataa kila kitu leo
Acha kujifajiri. Unajua fika hizo kazi ni nadra sana kupata mtu mweusi . Truth is Brazzaville ni makao makuu tu ila hiyo position inampaka mamlaka ya Africa nzima. Kwa ufupi Tanzania tutatuma taarifa zetu za hayo magonjwa kwake. She is got a huuuuge power kama huo uteuzi ni kweli.Hamna kitu hapo! Hizo kazi zipo nje nje kila siku! Zinaogopewa kwa ajili ya locations, nchi Somalia, Congo nk.
Habari waungwana,
Dkt. Mwele Malecela aliyekuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR na kisha 'kutumbuliwa' baada ya kutangaza uwepo wa homa ya Zika nchini, sasa anakuwa Mkurugenzi wa Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa Afrika wa Umoja wa Mataifa (WHO-AfRO)
View attachment 490245
Ameondoka jana na kituo chake cha kazi kitakuwa Brazaville nchini Congo.
Amwangukie Mwele hana roho mbaya dada wa watu.Me Mutuz lilienda Uk. Badala ya kusoma likabaki Jim muda huu no mpambe wa Daudi na Jipu. Lina laana ya mamake. Kubwa zima linaishi kwao
VYA MAJINA YAKO!RAHA YA KUWA NA VYETI.....