Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,189
2,970
Habari waungwana,

Dkt. Mwele Malecela aliyekuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR na kisha 'kutumbuliwa' baada ya kutangaza uwepo wa homa ya Zika nchini, sasa anakuwa Mkurugenzi wa Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa Afrika wa Umoja wa Mataifa (WHO-AfRO)

IMG_4949.JPG


Ameondoka jana na kituo chake cha kazi kitakuwa Brazaville nchini Congo.
 
Back
Top Bottom