okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,787
- 2,856
Mkuu upole ni nini?Upole ni tabia na ukali siyo sifa!
Mkuu upole ni nini?Upole ni tabia na ukali siyo sifa!
Ni kila mmoja ubongo unavyotafsiri hutuba zaoAwamu hii kazi tunayo.
Rais akihutubia anatukumbusha uanamke wake makamu yeye anatukumbusha upole wake.
Kama wa Kikwete lakini aliwafunga jela mawaziri wake Mramba na Yona!Mkuu upole ni nini?
We hujui makosa yao. Na ukipata muda tafuta video zao uone jinsi walivyokuwa wanachochea ugaidi na uasi. Wale mungu amewanusuru mimi sikupata URAIS ila ningekuwa Rais wale mafala ningewatoboa toboa kwa pini kama chujio kisha wanalazwa kwenye chumvi mpaka akili ziwakae sawa. Kisha mwisho nang'oa meno yao taratiiibu huku nawapoza na iodine solution. Ningehakikisha wale wanabanikwa wanakuwa kama samaki wakavu (NG'ONDA) kwa lugha ya kule Kusini.Waachieni mashee hatutaki longolongo au tunaendelea kumshitakia Mungu,na nyinyi mtakufa kwa magonjwa yasiyojulikana hawa wansema moyo wengine corona.Mpaka Mashee watoke,kusemea maneno hayo unawapiga dongo mashee.mwenye akili analifahamu hilo.
Wizara ya Muungano na Mazingira ipo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Au hujui jombaa?Mpango hajui kazi za makamu wa Rais..
Muungano si upo chini ya ofisi yake... Ila all in all jamaa sijui hata anafanyaga nn yaniMpango hajui kazi za makamu wa Rais..
Wanasiasa kwa VITISHO utadhani hii Nchi ni yao Pekee yao Hayati Alikuwa mkaliUpole ni tabia na ukali siyo sifa!
Halafu anajifanya Magu ......Anachosha sana na yeye.
Kila siku atakua mkali mkali kwani anamfokea nani?
Kosa lililofanyika Dodoma July 2015 litaigharimu hii nchi kwa miaka mingi sana.Mpango hajui kazi za makamu wa Rais..
Mpango anavyoongea ni kama vile yeye ndiye rais...kazi ipo kwa kweli. Au hajui mipaka yake bado?Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole. Watakaojaribu kuchezea Muungano hapo sitakuwa mpole"
Jamaa mshamba sana. Bado ana hangover ya ChatoHalafu anajifanya Magu ......
Eti sitakubali.
Mpango wewe ni nani ???
Just a ceremonial post with no authority.
Huyu mtu ana umimi sana, asije kumroga bi mkubwa ili awe Rais.
Huwezi hata kuamrisha polisi, hao watu wa kuchezea muungano utawafanyaje wewe.
Hivi ukisema serikali haitakubali ........unakufa??
Utamsikia,Jamaa mshamba sana. Bado ana hangover ya Chato
Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole. Watakaojaribu kuchezea Muungano hapo sitakuwa mpole"
Mbinafsi kupitiliza huyu mtu. Halafu ndiyo itokee awe rais. Mbona tutasema afadhali Magufuli.Utamsikia,
- Nataka kodi, nataka kodi ......
- Sitakubali muungano .........
Aiseee
Mtanzania ni nani?Na mbaya zaidi sio mtanzania