Dkt. Mpango: Serikali inalaani shambulio dhidi ya Padri Kitima

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.

Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.

Mmh
 
Katika watu wanazengua hii nchi ukimuondoa Samia

Basi ni Mpango, Majaliwa na Nchimbi

Hawa ni matapeli na ndio wametufikisha hapa tulipo

Wameshindwa Nini kumuweka mtu Kati Samia na kumwambia ukweli?

Very stupid!!!
 
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.

Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.

View attachment 3324477
Sijaelewa hapa, yaani Serikali inajilaani yenyewe, wonders shall never end, only in Tanganyika.
 
Mr vice president ni jambo jema kulaani uhuni

Lakini kulaani ni kama mchezo wa tenis

Ukilaani lazima ujiandae kulaaniwa pia

Je umejipangaje ? Maana watu wana hasira hawajui pakuzitolea, pengine zinaweza kutolewa kwa mtu adiyesahihi namaanisha kwako kwa kushambuliwa kwa maneno

Watasahau kabisa kuwa umetoka msibani vatcan juzi tu

The best way to win an argument is to avoid it

Kukaa kimya kungekufaa sana
 
Hata kwenye MAUAJI ya KIBAO. (RIP) raisi alilaani. Badae akasema kifo ni kifo.
Hata aliposhambuliwa TAL magufuli alilaani vikali.
Mpaka leo nini kimetokea???
 
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.

Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.

View attachment 3324477
mshukiwa analaani
 
Waache kulaani, watende haki.
 
Kichwa kina laani mkono kufanya shambulio , hivi hakunaga vikao vya ndani kujadili haya maswala kabla hayajayokea ? Ama ndyo mifumo haisomani au ni muendelezio wa tamthilia kwenye uwanja wa sinema
 
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.

Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.

View attachment 3324477

Wawewatuma halafu wana laami kama vile watanzania ni wajinga🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ Yule mzee wa Chadema walisema hivi hivi mpaka leo
 
Back
Top Bottom