Hapa Kazi tu wamepigwa TKO......hapo hakuna aliyefanya analysis kwenye utumishi....pako chini zaidi baada ya wakubwa kupandikiza chuki kati ya wananchi na watumishiHata mi nilimuona aisee watu wameanza kuchoka....wapenda masifa ya kijinga wanatupeleka pabaya
Endeleeni kusikiliza ushauri wa kutoka Rwanda, kwa kasi hii Nchi ya viwanda na uchumi wa kati itafikiwa 2099
Hebu Punguza Mawazo Mgando Ya Kudhani Kila Anaeikosoa Serikali Ni Mpizani. Kama Wewe Unadhani Ukiwa Mwana CCM Ni Sharti Kupongeza Kila Kitu Hata Kama Kikiwa Kibaya, Basi Ujinga Huo Unao Wewe Mwenye Akili Za Upimbi.Ninyi mnajua nini? Nendeni kwenye UKUTA lakini maisha ya ujanja ujanja kwishney!!
Waifanye iwe beach yale mawinchi yawe bembeaBandarini tutafugia kuku ngojeni tuone mwisho wake?
Something is better than nothing
Vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa Mungu wetu anataka mwenye dhambi yoyote atubu ili kama alikuwa akiishi kama shetani aishi kama Malaika.Tatizo ni Makauli ya Raic. Kulipa kodi sio tatizo. Kumbuka kodi haimuumizi mfanyabihshara. Inamuumiza mtumiaji wa mwisho.
Jamaa si alisema anataka waish kma mashetani. Sasa very soon yeye ndye ataish kama ibilisi Lucifa.
Nimefurahi Nimefurahi Nimefurahi Nimefurahi ,watu wataheshimu watalaamKuna watu wanashangilia utadhani wao si Watanzania.
Duh! Ndiko tunakoelekea huko?Hata Mugabe alipokuwa akiiteketeza Zimbabwe vibaraka wake walikuwa wakiimba Mzalendo na Miadilifu huku wakimpamba kwa kila hali! Baada ya muda watu wakawa wananunua mkate na kapu la hela, hakika tuliuona huo uzalendo wa Mugabe na tunauona huo uzalendo wa Magufuli!!
Naomba Wachanganuzi wa Uchumi wanijibu tu,
Je ni kwa muda gani na kwa namna gani zoezi hili litaongeza kipato cha taifa na kuboresha maisha ya Watanzania?
Mapigo makuu na yafikeVitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa Mungu wetu anataka mwenye dhambi yoyote atubu ili kama alikuwa akiishi kama shetani aishi kama Malaika.
Mwenyezi Mungu hatamani binadamu yeyote aishi kama shetani.
Tumeshangaa tumepata Presidaa ambaye ametangaza hadharani kuwa atawafanya watanzania waishi kama mashetani........
Sasa nchi yetu naona Mwenyezi Mungu ameanza kuipiga laana kutokana na matamshi hayo ambayo yanaenda kinyume kabisa na matakwa ya Mungu ya kutotaka binadamu yoyote hata kama alikuwa na dhambi kiasi gani asiishi kama shetani, badala yake atubu dhambi zake na aweze kuishi kama Malaika.
Acha ujinga! Taarifa za upungufu wa mzigo bandarini hazitokani na VAT. Comparatively gharama zetu ziko chini kuliko bandari zingine. Ukweli ni kwamba mizigo iliyokuwa inafurika ilikuwa ya Mafisadi na ilikuwa hailipiwi kodi! Sasa wamekwama! Ni bora ije michache lakini walipe! Upotoshaji wa UKUTA ni propaganda useless!!Hebu Punguza Mawazo Mgando Ya Kudhani Kila Anaeikosoa Serikali Ni Mpizani. Kama Wewe Unadhani Ukiwa Mwana CCM Ni Sharti Kupongeza Kila Kitu Hata Kama Kikiwa Kibaya, Basi Ujinga Huo Unao Wewe Mwenye Akili Za Upimbi.
Harafu Bado Serikali Inadai Eti Mapato Ya Bandalini Yanaongezeka Siku Hadi Siku.
UncleBen, naamini unajua kabisa kuwa ukishaona nchi inatetea na kutegemea Kodi pekee kama source of income ni tatizo kubwa sanaaa.
Nchi zote zilizoendelea ziliwekeza kwenye Agriculture na viwanda, viwanda hivi vyetu vitaendeshwa kwa source gani of energy? Umeme huu wa kusuasua hata bila viwanda?
Hili la kodi litaumiza watanzania wengi.