William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
FMES,
hivi kwa mtizamo wako wananchi wa same tuna haki ya kupata maji lakini elimu hatuna haki nayo? credibility yangu itaondoka pale itakapothibitika kwamba yangu ni ya uongo. mpaka sasa hivi nimetoa ushahidi tuka vyombo vya habari na baraza la mitihani.
S0872 NDUNGU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 12 FLD = 15 ABS = 6
S0901 KISIWANI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 25 FLD = 12 ABS = 0
S0615 KIRANGARE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 6 DIV-IV = 50 FLD = 8 ABS = 0
P0875 GONJA SECONDARY SCHOOL CENTRE
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 3 FLD = 14 ABS = 0

Hivi kweli tumejiwekea kiwango cha maendeleo chini kiasi hiki? Visima 30 na baiskeli 20 ndivyo vya kujivunia? Mimi nadhani badala ya kumbeza Bangusule, Mheshimiwa angepelekewa malalamiko ili ayafanyie kazi. Kama kweli ni mbunge mwenye uchungu na eneo lake atayachukuwa kama changa moto kwake badala ya mbinu za kumwangusha.
Bangusule anastahili sifa na shukrani kwa kulileta hapa. Sasa kazi kwa waheshimiwa wabunge!
Amandla........
Mkuu Bangusile, kama wasemavyo hata ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA!
tuwapongeze walau hao waliojitahidi kupeleka hata huduma ya maji kwenye majimbo yao huko same, na tuwape ushirikiano hata kunako kuinua elimu watafika. Usikute ukosefu wa maji amao hulazimu vijana kutumia muda mwingi kutafuta maji badala ya kujisomea umekuwa ukichnagia sana udorola kwa elimu!
Ila kwa taarifa yako afadhali hata hao ambao walau wanawakumbuka wapiga kura wao, wengine hata hatuwaoni kabisa majimboni tunasubilia pilau tu na tisheti za njano na kijani panapo 2010!
Fundi Mchundo,
Hili ndilo tatizo la Tanzania pamoja na viongozi wetu, wanapenda sifa tu na mapambizo kibao; wakilaumiwa inageuka kuwa ugomvi.
Mimi ningelikuwa mama Kilango, ningekuwa wa kwanza kumtafuta Bangusule ili kujadiliana maendeleo ya jimbo na namna ya kuboresha. Pia ningetumia nafasi hiyo kumfahamisha Bangusule juhudi zingine ambazo ninafanya zikiwemo kutatua tatizo la maji na kusaidia vilema. Baada ya hapo huenda unakuwa umeigeuza kura ya Bangusule ije kwako 2010.
Katika maisha wengine tumejifunza kwamba unajifunza zaidi kutokana na challenges za mbaya wako au mtu asiye rafiki yako kuliko marafiki ambao wanakuimbia nyimbo tu hata pale unapokosea.
- Mkuu sasa hivi nipo kwenye line jela, nikimaliza shughuli za hapa nitarudi kukusaidia zaidi na facts, na nitamtafuta mbunge mwenyewe anipe facts wewe si unajua kua zipo, ila ni time tu kwa hiyo usiwe na wasi, naomba nipe nafasi nimalize ya hapa jela halafu later au kesho tuendelee na huu mjadala wako usio na kichwa wala miguu. Maana la elimu limetushinda taifa zima, sasa wewe kulilia mbunge wa Same East sina uhakika na agenda yako lakini tutayaweka yote hapa wazi, kama tulivyofanya hayo mengine ndio kilazaa atajulikana ni nani hasa kama so far hajafahamika.
Later!
Fundi Mchundo said:Mko hapo kwa kuaminia dhana hiyo ya Roma etc. etc. Muigeni Bangusule. Waleteni humu mwasute. Waulizeni kulikoni badala ya kungojea hizo pilau na Green Vest za njano!
Tunapenda mno kupongeza hata kile kiduchu tunachofanyiwa. With the bar set so low, tunategemea nini? Kama pilau ndiyo kipimo chetu basi pilau ndiyo tukayopata. Kama baiskeli ndiyo kipimo basi tutaishia hapo hapo kwenye baiskeli!
Amandla......
YourNameismine said:Hivi Same secondary ipo ktk wilaya gani? kama ni wilaya ya Same, tuweke basi tuone na wao wamefanyaje au hai-fit ktk kampeni yako hii? Naona umechagua zile mbaya mbaya na kutuchomekea P moja ili kuipa uzito kesi yako...LOL!
Nashukuru kwa kukubali kuwa hizi ni kampeni za 2010, asante sana! Pili kuna tofauti kati ya P01000 na S1000.....matokeo uliyoweka si ya Same secondary!! Hiyo Chaangaja uliicha kwasababu ina div one na two, passing yake ingawa ni ya chini, lakini ndio trend kwa takribani nchi nzima! Hili si tatizo la Same, ni tatizo la nchi nzima na linaanzia kwenye familia!
Kaka,
Mie sio CCM na wala simjui huyo "Super K".....tatizo langu na jamaa ni kuwa yupo kwenye kampeni na anatumia matokeo haya mabovu kwa nia zake binafsi na si uchungu kwa hao watoto waliofeli! Pili, jamaa anapindisha ukweli kwa makusudi ili ku-make a point kitu ambacho kwa kawaida mie ua ni tatizo kubwa sana kwangu....iweje ana-force matokeo ya P150 bla blah Same Secondary School Center kuwa ndio matokeo ya S1000 Same Secondary?? Sisemi kuwa matokeo ya Same Secondary ni mazuri, lakini ndio utakayo yakuta Pugu, Minaki, Nsumba, Bwiru, Sengerema Secondary n.k..kitu ambacho kinathibitisha kuwa hili ni tatizo la kitaifa na si wilaya moja ya mkoa wa Kilimanjaro! Pia ukiangalia idadi ya wanafunzi ktk hivyo viji-shule basi utagundua kitu kingine ambacho si tatizo la mbunge......
Jibu la matatizo ya elimu ktk Tanzania litaanzia ktk ngazi ya familia na si vinginevyo.....
Yournameismine said:Kaka,
Mie sio CCM na wala simjui huyo "Super K".....tatizo langu na jamaa ni kuwa yupo kwenye kampeni na anatumia matokeo haya mabovu kwa nia zake binafsi na si uchungu kwa hao watoto waliofeli! Pili, jamaa anapindisha ukweli kwa makusudi ili ku-make a point kitu ambacho kwa kawaida mie ua ni tatizo kubwa sana kwangu....iweje ana-force matokeo ya P150 bla blah Same Secondary School Center kuwa ndio matokeo ya S1000 Same Secondary?? Sisemi kuwa matokeo ya Same Secondary ni mazuri, lakini ndio utakayo yakuta Pugu, Minaki, Nsumba, Bwiru, Sengerema Secondary n.k..kitu ambacho kinathibitisha kuwa hili ni tatizo la kitaifa na si wilaya moja ya mkoa wa Kilimanjaro! Pia ukiangalia idadi ya wanafunzi ktk hivyo viji-shule basi utagundua kitu kingine ambacho si tatizo la mbunge......
Jibu la matatizo ya elimu ktk Tanzania litaanzia ktk ngazi ya familia na si vinginevyo