Dkt. Mahera mgeni Maalum TCD, kutoa mada kabambe kuhusu Demokrasia, Haki na Uchaguzi Huru

View attachment 2155543

Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
huyu dr wa nini?
 
nasikia eti nae anaendaga kusali huko kanisani
 
Kila mmoja yuko kazini kwake, Kila mmoja atimize yake. Zzk anamajukumu yake, mahera ana yake, CHADEMA nao wanayao wasiombe huruma sana, haitawasaidia. Siasa sio romantic kama Mwenyekiti wa Chadema anavyodhani.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Tanzania vituko haviishi. Kesho msije kushangaa mkikuta mgeni rasmi kwenye kongamano la ''namna ya kukomesha wizi wa mahindi shambani'' ni ngedere.
 
Zitto anajipendekeza kwa Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi!
Ngoja aende akawahutubie kina NGOGWE na genge lake,
Mahela so ndiyo aliwapitisha kina COVID 19.

20220130_145754.jpg
 
View attachment 2155543

Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Jina la Zitto Zuberi Kabwe tena kwenye maji yaliyokorogeka...
Huyu dogo ana malengo gani??
 
Kila mmoja yuko kazini kwake, Kila mmoja atimize yake. Zzk anamajukumu yake, mahera ana yake, CHADEMA nao wanayao wasiombe huruma sana, haitawasaidia. Siasa sio romantic kama Mwenyekiti wa Chadema anavyodhani.

Mahera aliyepeleka majina ya kuforge bungeni?. Ana kazi gani huyo. Halafu Kati ya TCD na Chadema nani ni romantic. Wanaokaa na CCM na waliokataa kukaa na CCM nani anatafuta huruma?.
 
Sawa, Endeleni na speech zenu na quotes za akina Luther Martin King na Akina Sullivan's. Bora hata mngekuwa mnatokea mifano ya akina majimaji kusini, milambo, mwanabtare, Milambo etc.
Mnadhani CCM wanaelewa mnachoongea. Mko very Romantic
 
View attachment 2155543

Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
Aliyeshiei

Angetumia busara tu kukata huo mwaliko.
 
Huyu inabd apewe zamu ya kufagia kabur

Taarifa hizi Muhimu kuhusu Wageni na watoa mada kwenye kikao cha vyama vya siasa kilichoandaliwa na TCD kitakachofanyika Dodoma hivi karibuni , zimepatikana leo kwenye Mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Chadema kwenye ofisi za chama hicho huko Kinondoni .

Dr Mahera ndiye Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania , na ndiye aliyesimamia uchaguzi Mkuu wa 2020 , uchaguzi ambao baadhi ya wagombea walitekwa na kupigwa , Kutupwa maporini na wengine kupewa kesi na TAKUKURU , wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi na mauaji ili wagombea wa ccm wapite bila kupingwa , Huyu ndiye mtoa mada mkuu kwenye mkutano wa TCD .

Zitto Kabwe ndiye kiongozi wa TCD aliyetoa mwaliko kwa MTUKUFU MAHERA ili atoe mada ya kidemokrasia siku hiyo .
 
Zitto anafanya dhihaka. Nakumbuka Mahera alifikia sehemu akaanza kumwambia Lissu aseme nini kwenye kampeni.
Mahera is a senior officer of the Government, occupying a sensitive position under the constitution. Si sawa kumbeza. Kama si huyu kutoa mada atoe nani? He is going to share his experience, discuss the Tume's work methods, and participate in Q&A. Who can be better than him? Out traitors are out of touch with reality. Ni sawa na kumtukana shangazi, kama si baba mwenyewe. Shame.
 
Back
Top Bottom